Ni ipi tofauti Hesabu kati ya Hisabati

Ni ipi tofauti Hesabu kati ya Hisabati

gilldenu

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2015
Posts
2,914
Reaction score
3,026
Wakuu hekima kwenu,

Naomba mnisaidie kujua tofauti ya hesabu na hisabati maana yanatumikaga kumaanisha kitu kimoja lakini naamini kila moja lina maana yake.
 
Hesabu ni
Kujumlisha
Kutoa
Kuzidisha
Kugawanya

Husabati
Unaambiwa find the value of x
 
>>>>Hisabati ni Somo la Hesabu
>>>>Hesabu ni kama unavojua

Zala Na Nga
 
Hesabu zile very very basic, kama mathematical operations(-,+,x....), counting numbers.
Hisabati ni huko kunabakia.

Mfano darasa I-II wanasomba hesabu
Kuanzia la tatu wanasoma Hisabati, chunguza hata vitabu vilivyoandikwa.


Alexander The Great
 
Back
Top Bottom