Ni ipi sahihi kwa wanaume

Ni ipi sahihi kwa wanaume

Piganeni
hivi kuna jipya chini ya jua?

Nani kilaza? Mie elimu ndogo naye urgue na ww Phd holder?

If u can't explain it clearly you don't know it either. So matanga mawili yanakokotana.

Mie nadhani bikini itakufaa zaidi.
 
hivi huwa unasoma references mbalimbali? take your time jaribu hata kugoogle material mbali mbali uwe unasoma hii itakusaidia sana
 
kumbe hata kusoma sentensi utaraaa
Relax, JF chei chei Oyee!

kama wenye PhD ndo watu kama wewe basi kwishaaa elimu yetu haina maana tena!
kwanza nani kakwambia eti ukiwa na PhD ndo basi unaweza ukaanza ropoka vitu ovyo pole na PhD yako hiyo
 
he he he, mie mwenyewe reference, huko gogo hata vichaa wana-upload.

Bora ungeongelea research papers ningekuwa na interest kidogo.

hivi huwa unasoma references mbalimbali? take your time jaribu hata kugoogle material mbali mbali uwe unasoma hii itakusaidia sana
 
he he he, mie mwenyewe reference, huko gogo hata vichaa wana-upload.

Bora ungeongelea research papers ningekuwa na interest kidogo.
kwa faida yako huwa hatu-upload google, ile ni search engine, inakusaidia kutafuta website zenye materials yanayofanana na key word uliyotype! poor you
 
Boxer nzuri zaidi kiutalaamu, niliwahi kupata tetesi kuwa nchi fulani nguo za ndani za watoto wachanga wa kiume zinatobolewa kwa chini/zina uwazi ili kuacha hewa/ubaridi. Kiukweli testes/kengele hazihitaji joto(ndiyo mana zimewekwa nje kiasili), misuli inahitaji kuwa huru kabisa, kwa hiyo hata nguo ya kubana sana sishauri mwanaume.
 
ha ha ha, rich me.

From kyupi to mashindano ya nani anaijua gogo?

Unachokisearch gogo kinajiweka? Anayeweka material ili wewe u-search anakuwa kafanya nini?

Up ur game boy!

kwa faida yako huwa hatu-upload google, ile ni search engine, inakusaidia kutafuta website zenye materials yanayofanana na key word uliyotype! poor you
 
ha ha ha, rich me.

From kyupi to mashindano ya nani anaijua gogo?

Unachokisearch gogo kinajiweka? Anayeweka material ili wewe u-search anakuwa kafanya nini?

Up ur game boy!
ndo maana nakwambia bwana kongosho wewe kilaza biology hujui, ICT hujui sasa wajua nini!? hakuna mtu ana upload google ile ni search engine tu! ile inatafuta website zote zenye maneno yanayofanana na ile key word uliyotype pale. hao wanao-upload huwa wana-upload kwenye website zao so mr google anapita kwenye hizo website akitafuta web amabayo ina-match na ile key word yako there after inakuletea site mbali mbali zinazofanana na keyword then ina-arrange kulingana na density ya hizo site
 
ujue hata kujifanya hamnazo ni kipaji.

So wewe unaamini yote unayoyasechi?

Kwa nini usiamini yako?

note: nachojua kuwa mwanamme rijali anazalosha mwanamke, kyupi ni kisingizio, period!

ndo maana nakwambia bwana kongosho wewe kilaza biology hujui, ICT hujui sasa wajua nini!? hakuna mtu ana upload google ile ni search engine tu! ile inatafuta website zote zenye maneno yanayofanana na ile key word uliyotype pale. hao wanao-upload huwa wana-upload kwenye website zao so mr google anapita kwenye hizo website akitafuta web amabayo ina-match na ile key word yako there after inakuletea site mbali mbali zinazofanana na keyword then ina-arrange kulingana na density ya hizo site
 
Mara nyingi nimekuwa nikisikia maoni na mitizamo ya watu kuhusu uvaaji wa vyupi na boxer kwa wanaume. Baadhi ya watu wanasema vyupi vinaharibu uume na kupunguza nguvu sabau ya joto na kumbana sana mheshimiwa sana, wengine wanasema vyupi vinasaidia wale wenye vijogoo vya kuwika kila mara. Je ni kipi Sahihi kati ya vyupi na boxer?
testes huwa zipo nje kwani sperm production inahitaji joto la (33-35) degree Centigrade mwili wa binadamu huwa ni 37degree Centigrade hivyo kama testes zingekuwa ndani ya mwili ni dhahiri sperm zingekuwa denatured.

Pia elewa testes zako zina-control joto baada ya
(kende)scrotum (which expands and contracts to facilitate heat transfer na ndio maana kuna wakati unakuta kende zako zimesinyaa sana) and heat exchange between blood flowing into the testes via the arteries in the spermatic cord, and that flowing out of the testes via the veins in the spermatic cord. This results in the pre-cooling of blood entering the testes, although the pre-cooling mechanism can only regulate testicular temperature to an extent.

Unapovaa nguo nyingi ndani au nguo za kubana ndani kama chu*, skin tight huwa zinaongeza joto ndani zaidi ya (33-35) degree Centigrade lile ambalo lina-favor sperm production, hivyo sperm huwa denatured. Ndio maana wataalamu wanashauri boxer ndonzuri manake ziko wazi zinaingiza hewa ya kutosha na haziongezi joto!

Pia chup, skin tight huwa huwa inaathiri p.e.n.i.s kwa kubana muscles na blood vessel za p.e.n.i.s wakati ime-erect na kufanya blood circulation isifanyike vyema!
 
Vyote mbona sawa2 chamsingi ni kumu hifadhi bacar kichwa sehem salama
 
Ukizoe chupi dushelele inapinda na pili inakua ndogo haipumui pengine.
 
Big up for your scientific solutions!
 
Back
Top Bottom