WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 956
Unapokitakiwa ujitambulishe mbele za watu, unapenda kufanya utambulisho huo kwa mtindo gani?
Ifuatayo ni namna watu wanavyojitambulisha na kila moja inakuwa na maana:
Mimi naitwa xyx ( im called xyz)
Jina langu ni xyz ( my name is xyz)
Naitwa xyz
Mimi ni xyz ( I am xyz)
Binafsi napenda kujitambulisha - MIMI NI XYZ kwasababu najijua mimi ni xyz, sijali nani ananiiita nani.Utambulisho huu unabeba hali ya kujiamini zaidi.
Je wewe mwenzangu unapenda kujitambulisha vipi na kwanini?