SWEET RIZIKI
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 288
- 388
Masahihisho: Kilimo cha miti ya mbao na sio kilimo cha mbao .... by the way hiyo MITI BORA ndo penye UTATA hapoWakuu kichwa habari cha husika.
Wenye uzoefu na Kilimo cha mbao tunaomba kujuzwa ni miti gani bora yenye kutoa mbao nyingi.
Inakua kwa muda gani.
Baadhi ya miti michache nilowahi kusikia ni Sapras, Mitiki, Gravilia ila sijui ABC's zake.
Natanguliza shukrani.
Naomba nitoe kamchango kadogo, kuna kitu kinaitwa rotation time kwa kila mti, rotation time ni kipindi ambacho mti hufikia maturity kwa ajili ya kutoa mbao.Wakuu kichwa habari cha husika.
Wenye uzoefu na Kilimo cha mbao tunaomba kujuzwa ni miti gani bora yenye kutoa mbao nyingi.
Inakua kwa muda gani.
Baadhi ya miti michache nilowahi kusikia ni Sapras, Mitiki, Gravilia ila sijui ABC's zake.
Natanguliza shukrani.
Naomba nitoe kamchango kadogo, kuna kitu kinaitwa rotation time kwa kila mti, rotation time ni kipindi ambacho mti hufikia maturity kwa ajili ya kutoa mbao.
1. Eucalyptus ni kama miaka 23
2. Pines ( zilizo nyingi) ni miaka 23 pia
3. Cyprus ni 26
4. Mtiki ni 26 hivi
Naweza kuwa nimekosea kidogo, ila rotation time iko over 20yrs kwa miti mingi. Chini ya hapo utapata kwa kutumia GMO au improved seeds.

Data za miaka 7 na mitiki miaka 15 umepata wapi?, mimi nimezitoa TTSA. Bila kutumia improved seeds/GMO huvuni miti ya mbao kwa ubora unaotakiwa chini ya miaka 20. Mitiki na Cyprus inakula miaka ya kutosha. Labda acrocarpus unaweza vuna baada ya miaka kumi.Hiyo miaka umetia chumvi kwa sana,pine hiyo miaka 7 watu wanavuna na mitiki ni miaka 15 sio 26 ingekua hakuna mtu anapanda hyo miti.
Ahsante mkuu kwa mchango wa kitaalam hiyo ni Bank ya uhakika. Mbona niliwahi sikia ni kama miaka 10 - 15.Naomba nitoe kamchango kadogo, kuna kitu kinaitwa rotation time kwa kila mti, rotation time ni kipindi ambacho mti hufikia maturity kwa ajili ya kutoa mbao.
1. Eucalyptus ni kama miaka 23
2. Pines ( zilizo nyingi) ni miaka 23 pia
3. Cyprus ni 26
4. Mtiki ni 26 hivi
Naweza kuwa nimekosea kidogo, ila rotation time iko over 20yrs kwa miti mingi. Chini ya hapo utapata kwa kutumia GMO au improved seeds.
Ahsante mkuu kwa mchango wa kitaalam
Yenye mazao mengi, mbao imara na inayokomaa kwa muda mfupi mkuu.Ni kweli kwa IMPROVED SEEDS. You can real harvest in 10 years swali langu kwa mtoa post labakia [emoji117] anaposema MITI BORA alimaanisha nini?
Miti ya mbao inayokomaa kwa haraka mara nyingi hutokana na MBEGU ZILIZOBORESHWA yaani IMPROVED TREE SEEDS lakini kwa uchache sana yaweza kutokana na HALI YA HEWA, HALI YA UDONGO na KIASI CHA MAJI ambacho mti huo wapata.Yenye mazao mengi, mbao imara na inayokomaa kwa muda mfupi mkuu.
Kuna jamaa yupo Njombe anauza shamba heka 200 @80000 mi nmepanda heka 20 tu miti Aina ya pynes
Naomba nitoe kamchango kadogo, kuna kitu kinaitwa rotation time kwa kila mti, rotation time ni kipindi ambacho mti hufikia maturity kwa ajili ya kutoa mbao.
1. Eucalyptus ni kama miaka 23
2. Pines ( zilizo nyingi) ni miaka 23 pia
3. Cyprus ni 26
4. Mtiki ni 26 hivi
Naweza kuwa nimekosea kidogo, ila rotation time iko over 20yrs kwa miti mingi. Chini ya hapo utapata kwa kutumia GMO au improved seeds.
Kiongozi hiyo miaka 7-8 kwa pinus yawezekana kwa IMPROVED TREE SEEDS .... lakini kwa UNIMPROVED ONES muda huo bado ni IMMATURE TREES .... japo mtaiona imekomaa ....Mimi nashuhudi kutoka field (Shambani). Pines ni miaka 7-8 imekomaa vizuri kwa kuvunwa. Hiyo ya miaka 15 sijawah kukutana nayo.
Hapa umetupa mwangaza, tukuombe utupie na kapicha kidogo ka Pine au ni ile inazaa mbegu bila matunda. Pia vipi hiyo ni ya kisasa au ya mkoloni.Mimi nashuhudi kutoka field (Shambani). Pines ni miaka 7-8 imekomaa vizuri kwa kuvunwa. Hiyo ya miaka 15 sijawah kukutana nayo.
Miti ya mbao inayokomaa kwa haraka mara nyingi hutokana na MBEGU ZILIZOBORESHWA yaani IMPROVED TREE SEEDS .... lakini kwa uchache sana yaweza kutokana na HALI YA HEWA, HALI YA UDONGO na KIASI CHA MAJI ambacho mti huo wapata .....
Kwa mti kuzaa mazao mengi mara nyingi yatokana na AINA YA MBEGU hasahasa IMPROVED TREE SEEDS na BETTER TENDING OPERATIONS (matunzo bora tangu kitaluni [tree nursery] hadi shambani [plantation ]) ....
Lakini pia mazao mengi yaweza tokana na kuusubiria mti hadi ufikie ROTATION AGE (time) ... yaani KUKOMAA KWA MTI tayari kwa kuvunwa, maana wakulima wengine huvuna miti yao ikingali MICHANGA (immature trees) .... hiyo hupelekea MAZAO MACHACHE na MBAO DHAIFU/ZISIZO IMARA ....
Mwisho, MBAO IMARA moja ya sababu ishaainishwa hapo juu .... na nyingine ni kuwa na BETTER TREE NURSERY MANAGEMENT & TENDING OPERATIONS ( usimamizi bora wa kitalu cha miti na shamba la miti) ... bila kusahau AINA YA MTI (tree species) ...
Kwa ushauri zaidi waone ...
a)WAKALA WA MBEGU WA TAIFA (Tanzania Tree Seeds Agency - TTSA) ...
b)TAASISI YA UTAFITI WA MISITU TANZANIA (Tanzania Forestry Research Institute- TAFORI) ...
c)TAASISI YA UENDELEZAJI MISITU (Forestry Development Trust-FDT) ...
d)MPANGO WA UPANDAJI MITI (Private Forestry Programme-PFP) ....
Note: Taasisi mbili za mwanzo (TTSA na TAFORI) ni TAASISI ZA TAIFA na mbili za mwisho (FDT na PFP) ni TAASISI ZA KIGENI