Ni ile hali ya kuisoma namba

Ni ile hali ya kuisoma namba

hivi huo ni mkoa gani vilee,?? nataka nije kumsalimia mwalimu wa science.
 
44e43b7249eff989688d39d60a978704.jpg
mwenzake uyu hapa
Kwamba ni mapacha ktkt vimeo
 
kuna vingi vya kujadili kwenye hiyo picha...Basi tu.
 
huyo mwalimu kashindwa hata kujiongeza ?? ..ningelikuwa Mimi nafanya inspection kwa wanafunzi ninao wafundisha nadhani nisingekosa hata Tecno p3 make wanafunzi wanazo cm za maana mpaka iPhone ..unajua sipendagi ujinga mimi
 
Back
Top Bottom