Ni huzuni sana

Ni huzuni sana

Skull App

Member
Joined
Jul 7, 2018
Posts
68
Reaction score
79
Habari wakuu

Nimejaribu kupitia nyuzi za waliomba msaada wa njia nzuri za kujiua wameandikiwa R.I.P kwenye profile zao. Hii inamaanisha wapendwa wetu walikua na Nia ya kweli ya kujiua.

Muhimu: Tusiweke mawazo yasiyofaa au ya kubeza tukiona hizi nyuzi, wenzetu wanahitaji faraja na mawazo badilisho ili waache mawazo ya kujiua.
 
Mh!, ni sehemu ya jf kufanya hivyo ikipata taarifa kuwa member fulani alishasepa mbele ya haki basi wanaweka hivyo, ili watumiaji wengine wajue maana bila hivyo unaweza mtext huyo member pm na ukitarajia akujibu kumbe yupo kwenye ukimya wa milele!.

Swala la mtu kutangaza kujiua na swala lakuwekewa hiyo alama nafikiri ni vitu viwili tofauti, maana wengine wakitangaza kujiua wanafanya kweli na ni ngumu kumuwahi, just imagine mtu aanzishe uzi hapa hajasema yupo wapi na wewe je huo muda umejipanga umfikie..?
kwanza mtu akidhamiria kujiua kwa dhati akijitahidi sana ni kutoa taarifa tu na si location..!
Mtu akitoa location basi mjue huyo yupo anadunda bado...🤣
 
Mkuu nani kasepa tena huko?
 
Mimi marehemu Foe ndiye mapka leo ananisikitisha sana. Hakujiua ila aliweka thread akieleza ameambiwa ana miezi 3 ya kuishi yuko stage ya mwisho ya cancer. akasema amepita karibu na makaburi akawaza naye ndani ya muda mfupi atakuwa hapo na upweke.
Kuna watu wakaanza mbeza kuwa anatafuta attention weengine wakampa pole. mwisho kumbe kweli jamaa alikuwa mdogo wake mtangazaji fulani wa clouds na alifariki akiwa early thirties.
 
Mtangazaji gani? Hebu weka mambo bayana bhana!
 
Mh!, ni sehemu ya jf kufanya hivyo ikipata taarifa kuwa member fulani alishasepa mbele ya haki basi wanaweka hivyo, ili watumiaji wengine wajue maana bila hivyo unaweza mtext huyo member pm na ukitarajia akujibu kumbe yupo kwenye ukimya wa milele!.

Swala la mtu kutangaza kujiua na swala lakuwekewa hiyo alama nafikiri ni vitu viwili tofauti, maana wengine wakitangaza kujiua wanafanya kweli na ni ngumu kumuwahi, just imagine mtu aanzishe uzi hapa hajasema yupo wapi na wewe je huo muda umejipanga umfikie..?
kwanza mtu akidhamiria kujiua kwa dhati akijitahidi sana ni kutoa taarifa tu na si location..!
Mtu akitoa location basi mjue huyo yupo anadunda bado...🤣
Unaweza kuleta badiliko kwa mchango wako chanya, sio lazima uwepo physically. Wengi wakija tunawabeza, kuwatweza na kudhihaki.
 
Mmoja alikuwa Macron, anasema anataka kujiua,watu wanasema jiue usitupigie makelele.
 
Mtangazaji gani? Hebu weka mambo bayana bhana!
Thread yake ni hiyo
 
Back
Top Bottom