Mambo..😁Poleni na majukumu wakuu
Msaada,,, ni sifa zipi unatakiwa kuwa nazo ili upate mwenza wa maisha.
1.Nguvu za kiumePoleni na majukumu wakuu
Msaada,,, ni sifa zipi unatakiwa kuwa nazo ili upate mwenza wa maisha.
18+ kama husomiMiaka mingapi (ke)
Unayo niniKwa (ke) ni chura tu
Hapo hamna ziada!Kwa nukta yako naona somo limeeleweka
Yes chura tu. Vipi unae chura? Maana kuna mtu anaitwa Behaviourist anatafuta mwenza ila awe na chura.Kwa (ke) ni chura tu
Kumbe na wewe ni ke 😲Me nimeshindwa, ukiweza pata ww nijuze