MKAKA HALISI
JF-Expert Member
- Dec 5, 2018
- 715
- 1,423
Hili pia limekua swali gum hata kwa sisi wanaume dada, lkn kanuni mojawapo wansema ukiwa mwalim utakutana na mwenza wako kazini
The same ukiwa mfanyakazi bank nk
Jiulize wewe uko wapi?
The same ukiwa mfanyakazi bank nk
Jiulize wewe uko wapi?