Ni heri ya Lowassa!

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,098
2,000
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
 
tereweni

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
583
500
LOWASSA.. KIONGOZI MWENYE HEKIMA YA KUJUA NINI CHA KUFANYA NA KWA WAKATI UPI. Nina mpenda lowasa angekuwa raisi sasa..

Akiwa Tabora, akasema watu hawana maji serikali inajisikia ufahari kununua Mandege kwa gharama kubwa, Mandege yenyewe mambobardier

#I Pray for you Mr. Lowasa uishi miaka Mingi uyaone matunda ya uliyoyatarajia.
 
spencer

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
3,491
2,000
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
Nenda kapitie list of shame ya Lisu kama hayumo
 
tozi25

JF-Expert Member
Aug 29, 2015
5,928
2,000
Uzuri wa Lowassa husimama na ahadi aliotoa na kufanya kama alivyoahidi.
Sasahivi wazee wetu wa vijijini wasingekuwa na shida ya maji. Hata wahanga wa tetemeko wapo kwenye makaazi mapya au yanajengwa na kusubiri yamalize.
 
kmbwembwe

JF-Expert Member
Aug 16, 2012
7,092
2,000
Ni heri ya Lowassa,

Ni heri kabisa huyu kiongozi ambaye ametumia theluthi mbili ya maisha yake kwenye uongozi wa kisiasa, hana shida, hana tamaa, hana wivu na wenye nacho, hana lugha mbaya,hana vitisho, hana mabishano na hana maneno mengi.

Uongozi wa Lowassa usingeweza kuwaita wanadamu mashetani never, hana tabia hivyo na haijawahi kusikika! Si mtu wa lugha lukuki,ispokua maneno machache kazi kwa sana.Asingeweza kuona watumishi wakilia na maslahi duni ya kazi zao huku maisha yakipanda kila kukicha.

Ni heri mwizi tunayemjua akatubia maisha yasonge mbele kuliko kuishi katika hofu,taharuki, kukosa Uhuru w kutoa maoni na kujadili taifa letu.Nchi inaongozwa kwa misingi ya katiba na sheria isingiwezekana Lowassa akavuka mpaka yake ya uongozi.

Kwa uvumilivu wa kisiasa aluokwisha uonesha umma na dunia juu ya figisu figisu wakati wa Uchaguzi mkuu 2015, isingewezekana kwa kiongozi mwingine kuvumilia haya. Pia kwa hakika utulivu uliopo Zanzibar kwa sasa nina uhakika kua upo mchango Mkubwa sana wa kiongozi huyu na nadhani matunda yake tutayashuhudia.
Baada ya fidel castro kuingia havana kibabe 1959 akiwa na cigar mdomoni na bastola kiunoni akisindikizwa na vikosi vya kimapinduzi mabepari uchwara na wanyonyaji wengine walitimkia marekani wakiongozana kiongozi wao kibaraka batista. huko kwa miaka mingi wameendelea kufoka na kumtakia fidel umauti. mabepara uchwara wetu hadi wanatia huruma kwa kulialia hawana pa kukimbilia. ujio wa jpm kwa kura za wananchi imekua pigo kwelikweli kwao.
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
8,945
2,000
Kweli tupu Mkuu Mahanju..

Kama Lowassa angekuwa Rais wa nchi hii.. Tusingekuwa kwenye hii TAHARUKI.

Anyway.. 2020 sio mbali ila huu muda uliobaki ni wa shida tupu.
 
goodluck5

JF-Expert Member
Jan 8, 2014
4,029
2,000
Yaani huyu sizonje ana visasi sijawahi ona!
Pamoja na mapungufu ya mkuu lakini bado huwezi kumfananisha na mamvi.
ile timu wangeuza nchi bora kwa huyu tuisome namba lakini nchi ibaki salama potelea mbali
Nenda kapitie list of shame ya Lisu kama hayumo
Baada ya fidel castro kuingia havana kibabe 1959 akiwa na cigar mdomoni na bastola kiunoni akisindikizwa na vikosi vya kimapinduzi mabepari uchwara na wanyonyaji wengine walitimkia marekani wakiongozana kiongozi wao kibaraka batista. huko kwa miaka mingi wameendelea kufoka na kumtakia fidel umauti. mabepara uchwara wetu hadi wanatia huruma kwa kulialia hawana pa kukimbilia. ujio wa jpm kwa kura za wananchi imekua pigo kwelikweli kwao.
nahisi nakuona ndugu MAHANJU. Maana umeandika kwa hisia na uchungu mkubwa sana Bro 2020 siyo mbali tumwombe Mola Atupe Uhai yaelekea Hisa zako zika zaa matunda.
 
wiseboy.

JF-Expert Member
Aug 11, 2014
3,788
2,000
Baada ya fidel castro kuingia havana kibabe 1959 akiwa na cigar mdomoni na bastola kiunoni akisindikizwa na vikosi vya kimapinduzi mabepari uchwara na wanyonyaji wengine walitimkia marekani wakiongozana kiongozi wao kibaraka batista. huko kwa miaka mingi wameendelea kufoka na kumtakia fidel umauti. mabepara uchwara wetu hadi wanatia huruma kwa kulialia hawana pa kukimbilia. ujio wa jpm kwa kura za wananchi imekua pigo kwelikweli kwao.
Baada ya fidel castro kuingia havana kibabe 1959 akiwa na cigar mdomoni na bastola kiunoni akisindikizwa na vikosi vya kimapinduzi mabepari uchwara na wanyonyaji wengine walitimkia marekani wakiongozana kiongozi wao kibaraka batista. huko kwa miaka mingi wameendelea kufoka na kumtakia fidel umauti. mabepara uchwara wetu hadi wanatia huruma kwa kulialia hawana pa kukimbilia. ujio wa jpm kwa kura za wananchi imekua pigo kwelikweli kwao.
Wewe huna akili kabisa, Castro alikuwa na uzuri gani?
aliwafanya wa Cuba waishi Kama mashetani Kama jamaa yako juma, Cuba ikageuka na kuwa magofu, mamia ya wa Cuba wakawa wanakimbilia Marekani na wengine kuzama baharini.
aliimarisha jeshi ili asipinduliwe.
Castro hakuwa na uzuri wowote, aliingia madarakani Kama mkombozi wa wacuba lakini akawageuka na kuwa mwiba, hiyo ndo kawaida ya Madikteta wengi duniani, akawanyima Uhuru wa habari wananchi na kubakiza vyombo vya serikali tu.
Nyie mitoto mliozaliwa miaka ya 1980 akili zenu ni za kushikilia na superglue.
hamjitambui kabisa.
 
ZILLAHENDER MPEMA

JF-Expert Member
Apr 4, 2015
2,057
2,000
Nenda kapitie list of shame ya Lisu kama hayumoAhsante kwa kutukumbusha,ila usisahau kuwa "list of shame" iliwataja pia Mkapa na Kikwete,na haikuishia hapo baadae waliongezwa na wengine akiwemo Magu,natamani mahakama ya Mafisadi ianze kazi ili wote waliotajwa katika orodha ile na nyingine zilizofuata wanyongwe.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom