Ni heri mtu uishi peke yako au kuishi na rafiki chumba kimoja ?

Nenda tafuta chumba mbali kabisa. Omba ruksa kazini, vamia mtaa na lori Fusso, beba kila kilicho chako, vunja line ya simu au m-block kabisa. Hamia chumba kipya na uongeze vitasa.
Ya nini kufa bp kwa mtu uliyekutana naye ukubwani?? Huyo hata ungemnunua malaya ukamwomba mje piga nght hapo kwako hatoki nje atajifanya kulala kwenye kochi awachungulie.
Ila urafiki gharama
 
Wewe ni mpumbavu kabisa, wala sijaona unacho omba ushauriwe hapa.... Gad'dem it..
Wanaume wa Daslam hovyo kabisa, yaani unakosa maamuzi hata kwenye maisha yako wewe binafsi...Shubamitabachan....
 
Back
Top Bottom