Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 18,649
- 20,988
Hii nchi ina vituko sana. Nadhani kama hatuwezi kuexercise democracy in a fair way bora mfumo wa vyama vingi ufutwe, ili CCM ibaki yenyewe ifanye inachotaka.
Hapa ni Tarime Mjini, na hawa ni mawakala wa CHADEMA walioenda kuapishwa kwa ajili ya kusimamia uchaguzi wa serikali za mitaa. Hapa waliposimama ni nje ya ofisi za Halmashauri, ambapo Msimamizi wa uchaguzi amekimbia ofisi na kuwaacha hapo nje.
Msimamizi huyo ametoroka na fomu za viapo, ambazo anazitumia kuwaapishia mawakala wa CCM huko mtaani. Utaratibu unataka mawakala waapishwe kwa pamoja. Lakini Tarime hali imekua tofauti. Mawakala wa Chadema wamefika, Msimamizi akakimbia za fomu za viapo. Yuko mtaani huko anawaapisha mawakala wa CCM kwa makundi madogo madogo.
Ameona akiwakusanya mawakala wote wa CCM akawaapisha kwa pamoja, mawakala wa vyama vingine watataka nao kuapishwa. Kwahiyo alichofanya ni kuwaambia mawakala wa CCM wajikusanye makundi madogo madogo ya watu watano hadi kumi, kisha anapita na kuwaapisha.
Kwahiyo kuna mawakala wa CCM wameapishiwa Bar, wengine Guest house, wengine mashambani, wengine majumbani kwao. Yote hii ni kukwepa kuwaapisha mawakala wa vyama vingine hasa Chadema. What a shame?
Hivi kama hizi rafu zimeanza kwenye uchaguzi huu wa serikali za mitaa, ikifika uchaguzi mkuu itakuwaje? Kama vyama vya upinzani ni tatizo si sheria iliyovianzisha ifutwe ili navyo vipotee? Kwanini muanze kujificha, kukimbia na fomu na kufanya mambo mengine ya aibu kama watoto, while mnaweza kufuta multipartism na mkafanya mambo yenu kwa kurelax?
#© Gmallisa.