Usedcountrynewpipo
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,636
- 2,734
ukimwi watu hawaogopi tena
Eiaravii zimefifisha onyo hilo la ngono.
Umeshawahi kupiga stori na washikaji wako hukusu jinsi alivyotoka na flan? Atakuhadithia mambo yote pamoja na kunogesha story, lakini kuna scene moja ya kuvaa kinga huwa hawaitaji. Unakuta anakwambia kwamba alilala nyumbani kwa mdada lakini katika movi yake huoni ni wapi alifanya jitihadi za kutumia kinga.
Hii ni hatari. Kutoambukizwa magonjwa ya zinaa kwa vijana wengi ni matokeo ya kutembea na mtu negative, maana ukisikiliza stori zao, huoni kama kuna mahali walichukua precaution ya kujikinga!
Tyta Hii lugha ya yesu mie naona chenga,ntafsirie pleaseguys...dont be fools..vulcanize your tools..as the right selection is to protect your erection...and never make a mistake not to cover your snakes..
Ndo vijana wetu hao wenyewe wanajiita masela
Lakini mabinti pia ni sehemu ya tatizo,niliwahi toka na dada mmoja mrembo mno.akanambia hawezi tumia condom inamuumiza k yake ni ndogo,nikamlazimisha tukapime,hilo lilifanyika tukainjoi sana.sasa mtu kama huyu angekutana na jitu lisilojali ingekuweje
hivi chumvi huzungimziwa walati wa kula? utasikia kuhusu nazi na biriani ila chumvi ikizidi au kupungua ndo utasikia