GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
Kama angewahishwa kaburini angeshasahaulika.
Lakini wakati ndugu zake walipokuwa wakiendelea kuomboleza, huku mipango ya mazishi ikiendelea, aliamka akiwa mochwari na kuanza kuita kwa lengo la kupatiwa msaada.
Kitendo hicho kiliwafanya baadhi ya wahudumu wa mochwari kutimua mbio. Lakini wachache walijitia ujasiri na kumpatia msaada uliohitajika na hatimaye akarudishwa wodini.
Tukio hilo lilitokea katika hospitali ya Naivasha nchini Kenya.