Ni hatari kuwa na rais asiyeaminika

Ni hatari kuwa na rais asiyeaminika

Mabadiliko yanayoimbwa ni mabadiliko ya mifuko ya viongozi wa chama, siyomabadiliko ya maisha ya watanzania. Wajanja wameshituka wakaingia mitini, wamebaki mambumbumbu wasojua kuusoma mchezo ndani ya chama chao
 
Back
Top Bottom