hata nyani huwa anacheka anapoona makalio ya mwenzakeHata kama bado ni mbunge the thing here ni kwamba alishawahi kua PM na si kila mbunge lazima awe PM..kua PM itifaki lazima izingatiwe..nyie vp! maswali gani haya jamani af mnajiita ma great thinker?? mbona hamjiulizi mwalimu alie kufundisha darasa la kwanza hata ipite miaka mia utamuita tu mwalimu hata kama alistaafu??
tumezidi kuwaogopa wenye pesa ndio maana tunawaita wastaafu badala ya WAJIHUZULUkwasababu uadilifu wa tanzania unategemea nani ana pesa zaidi............. hata liyumba akitoka jela tutasema mfungwa mstaafu!!
Hata kama bado ni mbunge the thing here ni kwamba alishawahi kua PM na si kila mbunge lazima awe PM..kua PM itifaki lazima izingatiwe..nyie vp! maswali gani haya jamani af mnajiita ma great thinker?? mbona hamjiulizi mwalimu alie kufundisha darasa la kwanza hata ipite miaka mia utamuita tu mwalimu hata kama alistaafu??
Anaitwa waziri mkuu mstaafu hasa na CCM ili kuhalalisha kupewa mafao ya mawaziri wakuu wastaafu.
Kumbuka ma-PM wastaafu wote wanagharamiwa na serikali mshahara wake, mshahara ya waklinzi wawili,
housegirl mmoja, matibabu, safari za nje at least 2 kwa mwaka, dereva, ofisi, mafuta ya gari etc. Hayo
marupurupu yote EL anayapata kama wanavyopata Familia za akina Kawawa, Sokoine, na waliohai kama
Msuya, Malichela, Sumaye, Salim, Warioba etc. Kama wakimuita waziri mkuu aliyejiuzuru anaweza kuyakosa
hayo marupurupu. Hiyi ndiyo maana yake kwamba hakukutana na JK bararabani! This is an Institutional
corruption under CCM (I hate them).
Mtakumbuka Maalim Seif alikuwa hapewi mafao ya Waziri kiongozi kwasababu alifukuzwa. Maalim ameanza
kulipwa baada ya mwafaka wa CUF na CCM.

alistaafu lini?hakugombea na ana makinda akapigwa chini?Huyu kweli mstaafu, maana alistaafu baada ya muda wake kuisha . Huyo L wenu alikubali maufisadi yake kwa kukubali kujiuzuru bila kukanusha tuhuma. Hajastaafu ameachishwa kwa manufaa ya umma, aende akalime na kufuga huko umasaini uongozi hauwezo si mwadirifu.
sio lazima uchangie hata kama hujaielewa vizuri mada husika maana unaleta uhalo humu jamvinihata kama bado ni mbunge the thing here ni kwamba alishawahi kua pm na si kila mbunge lazima awe pm..kua pm itifaki lazima izingatiwe..nyie vp! Maswali gani haya jamani af mnajiita ma great thinker?? Mbona hamjiulizi mwalimu alie kufundisha darasa la kwanza hata ipite miaka mia utamuita tu mwalimu hata kama alistaafu??
kujiuzulu ni kuacha kazi au kulazimishwa kuacha kazi kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kama iliyo mkuta Mh. Lowassa. kustaafu wakati wako wa kazi unakuwa umefika na huna budi kuendelea na kazi tena! kwa mfano ukiwa umetimiza miaka 65.
Ni makosa kumuita Raisi,Waziri,mkuu wa mkoa n.k "mstaafu". Hawa wanastahili kuitwa "aliyekua".Hata kama bado ni mbunge the thing here ni kwamba alishawahi kua PM na si kila mbunge lazima awe PM..kua PM itifaki lazima izingatiwe..nyie vp! maswali gani haya jamani af mnajiita ma great thinker?? mbona hamjiulizi mwalimu alie kufundisha darasa la kwanza hata ipite miaka mia utamuita tu mwalimu hata kama alistaafu??