joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
ANDIKA: KATIBU MKUU wa Chama Tawala; ukweli ana umuhimu huo unaoufikiria, si vyama vivuli vinavyosikika JF vina access hiyo
ANDIKA: KATIBU MKUU wa Chama Tawala; ukweli ana umuhimu huo unaoufikiria, si vyama vivuli vinavyosikika JF vina access hiyo
Nipe sababu maana yeye si kiongozi wa kitaifa
Leo nikiwa kwenye mihangaiko ya kutafuta pesa za kujikimu na hali hii ngumu ya uchumi nikakutanana gari ya polisi wa usalama barabari wakitutaka tupishe barabarani kuacha msafara upite. Kutahamaki ni katibu mkuu wa chama pamojana ujumbe wake. Hivi kweli now hata katibu wa chama ana umuhimu gani mpaka apishwe?
Uzito wake unaufahamu wewe anaekupa buku mbili daily ili akutumie.Pu.mbavKatibu Mkuu wa Chama tawala ni mtu mzito sana hapa nchini.
Ni kiongozi wa nini, wilaya?
Katibu Mkuu wa Chama tawala ni mtu mzito sana hapa nchini.
Katibu Mkuu wa Chama tawala ni mtu mzito sana hapa nchini.
Katibu Mkuu wa Chama tawala ni mtu mzito sana hapa nchini.
m2 yeyote anaweza kuomba escort kutegemea na uhitaji wako. Polic wanafanya ili mradi usiombe kwa ajiri ya kwenda kueanya uhalifu au uvunjifu wa sheria za nchi. Hamuoni hata timu za mipira huwa zna escort?katibu mkuu wa chama tawala ni mtu mzito sana hapa nchini.