joramjason
JF-Expert Member
- Jul 15, 2011
- 425
- 132
Leo nikiwa kwenye mihangaiko ya kutafuta pesa za kujikimu na hali hii ngumu ya uchumi nikakutanana gari ya polisi wa usalama barabari wakitutaka tupishe barabarani kuacha msafara upite. Kutahamaki ni katibu mkuu wa chama pamojana ujumbe wake. Hivi kweli now hata katibu wa chama ana umuhimu gani mpaka apishwe?