Ni halali msafara wa katibu mkuu wa chama kuzuia magari mengine?

joramjason

JF-Expert Member
Jul 15, 2011
425
132
Leo nikiwa kwenye mihangaiko ya kutafuta pesa za kujikimu na hali hii ngumu ya uchumi nikakutanana gari ya polisi wa usalama barabari wakitutaka tupishe barabarani kuacha msafara upite. Kutahamaki ni katibu mkuu wa chama pamojana ujumbe wake. Hivi kweli now hata katibu wa chama ana umuhimu gani mpaka apishwe?
 
ANDIKA: KATIBU MKUU wa Chama Tawala; ukweli ana umuhimu huo unaoufikiria, si vyama vivuli vinavyosikika JF vina access hiyo
 
Tatizo ni polisi kutokufata sheria zao bali amri za wanasiasa.
 
Hana umuhimu! ni misuse of resources!
ccm hawajitambui kama wao jukumu lao ni kuwagawa watu au kuwaunganisha!
tukiangalia nchi kama marekani na uingereza baada kupata ridhaa ya kuongoza watu itikadi za vyama wanaweka pembeni, wajenga nchi yao.
 
tatizo tz yetu imekwama.. name tulioikwamisha ni watz wenyewe.
 
Leo nikiwa kwenye mihangaiko ya kutafuta pesa za kujikimu na hali hii ngumu ya uchumi nikakutanana gari ya polisi wa usalama barabari wakitutaka tupishe barabarani kuacha msafara upite. Kutahamaki ni katibu mkuu wa chama pamojana ujumbe wake. Hivi kweli now hata katibu wa chama ana umuhimu gani mpaka apishwe?

Mahali nchi yetu imefikishwa, hata wewe ukiwa na vihela vyako na hutaki foleni, unaweza kuwaita Polisi na ukasafishiwa barabara ili kuepuka foleni.
 
Hata masafara harusi pia ni halali magari mengine kuzuiwa iwapo polisi wataridhika kuwa kwa kufanya hivyo wanaimarisha usalama barabarani.
 
Katibu Mkuu wa Chama tawala ni mtu mzito sana hapa nchini.

1386048126513.jpg
 
Katibu Mkuu wa Chama tawala ni mtu mzito sana hapa nchini.

Pumb.avu wewe,hivi utambua kushuka kwa thamani ya utawala wa serikali ya Tz ni pamoja na ujinga wako na wengne kama wewe kurahisisha mambo kama hivi mnavyoyachukulia? Huyo msomali jangili ana umuhimu gani kwa WATZ maskini katka taifa tajiri lenye kuliwa mashetani ccm? Usirudie tena upimbi huo au una laana?
 
katibu mkuu wa chama tawala ni mtu mzito sana hapa nchini.
m2 yeyote anaweza kuomba escort kutegemea na uhitaji wako. Polic wanafanya ili mradi usiombe kwa ajiri ya kwenda kueanya uhalifu au uvunjifu wa sheria za nchi. Hamuoni hata timu za mipira huwa zna escort?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom