Ni haki kupenda!?

its a million dollar question. But for me I always have this confidence that I can turn hater into Lover. I did it in few occasions and it worked, it started as a nightmare and end up in real perfect match. BUT if you are not Klorokwin then DONT TRY THIS AT HOME. ni bora mkaachana.
 
Chauro..
 
Kwahiyo ile Nightmare ya INFIDELITY ikaja kuwa a real perfect match
 

Ndio maana Jide aliimba usiusemee moyo
Lakini pale madhabauni huwa tunasema kwa msaada wa mungu nisaidie.
Hebu na mie ni zip my lips
 
Mwe jinyamazie mpenzi kwa manufaa ya afya na amani ya moyo wako.

Ndio maana Jide aliimba usiusemee moyo
Lakini pale madhabauni huwa tunasema kwa msaada wa mungu nisaidie.
Hebu na mie ni zip my lips
 
Embu tuanzie hapa, kwani wewe umeolewa? umeoa? una mpenzi unampenda mpaka unatokwa na vipele vya msisimko ukimwona? tujuze ili tukupe ushauri wa kukufaa
 

I'll set her free!..
 
Unahisi atakubali uondoke na watoto wake??
 
Haya mambo nahisi ni muhusika tu ndio anajua atafanyaje, ila naona mtoa mada yamemfika haswa, lil ndoa hz
 
Probably, the question here could be if una haki ya kuachana na mtu uliyemwoa/uliyeolewa naye.

Majibu ya swali hili yangekupa majibu ya swali lako!
As far as i know... Tungeingia kwenye udini endapo kama ningeuliza hivyo...
By the way, nliyenae siwezi kumwacha pamoja na kwamba simpendi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…