Mkami Lum
JF-Expert Member
- Feb 23, 2013
- 414
- 95
My dad once told me, ukitaka kujiremba, jirembe in the way utaonekana natural, mwanaume akikutana na wewe aseme huyu dada ana rangi/ ngozi nzuri, nywele nzuri. urembo mwingine unatisha, wanja mpaka masikioni, uso umeungua, kope za kubandika ukichanganya na rangi za macho ndio kama shetani vile.
poda kidogo (tena ya wtt), lip shine au lipstick isiyoshine sana, nyusi inachanwa na kitana chake, hereni, na nywele za style ya kistaarabu (no crazy colors, no kuchacharika like bambuucha) inatosha kumfanya mwanamke aonekane mrembo na mwenye class especially unapokuwa unaenda kazini au kwenye mizunguko ya kawaida ya town. Ila kama wewe ni msanii, basi hayo makorokoro mengine yote yanahusika
Safi... Hiyo ndio naipenda mie, sio miurembo hadi unakua kama umechorwa!