Viol
JF-Expert Member
- Dec 15, 2009
- 25,419
- 18,373
Zuma
Snake kenzia watumiaji wa NoKIA.
Prince of Persia😛lane:
watumiaji wa blackberry
Hizo games zote nazipenda zinanikeep busy nicheze mojawapo ndani ya siku moja nikiwa na mda,
Ila kwa sasa..
8 Ball Pool online on Facebook inanifanya niwe busy,kwa vile nakuwa nacheza live na friends au waliojiunga facebook na ninaona nashindana na watu halisi,na sipendi kuloose maana ukishuka kiwango huchezi tena mpaka ulipitie au mpaka mda flani upate 25 credits za bure ucheze.
BTW kwa yeyote aliyeko fb na anacheza 8 ball please if uko tayari lets make challenge tuone mbabe