Mileage
JF-Expert Member
- Feb 27, 2020
- 371
- 519
Kama ni Cooking tu hata soda Kuna cooking inafanyika pia. Sema ni vile huwa tunajifariji kwa kuangalia raw materials zinazotumika kutengeneza hivi vitu viwili. Ukisikia bia inatengenezewa ngano, ulezi au mtama basi unaona hiyo ndo yenyewe na imetegenezwa kwa asili Ila ukienda kwenye process yake ya utengenezaji utadundua inakutana na chemicals nyingi sana kuanzia kwenye water treatment ya hayo maji yanayotumika, fermentation yake, filtration yake, bado packaging. Sawa tu na soda ambayo raw material ni maji inawekwa taste na flavor basi... hata chakula unachokula kila siku kina chemicals - chumvi, sugar, etc. What I said is "soda is just a mixture of chemicals"; unlike beer which cooking at least takes place at some stage.