Ni faida zipi anazipata mnywaji wa soda kiafya?

Troublemaker

JF-Expert Member
Jun 8, 2015
19,882
38,513
Hello...!!

Baada ya kupata kiamsha kinywa nikajisikia hamu ya soda (pepsi) ikabidi niagize.
Nikapiga mafundo kadhaa mpaka ikafika nusu. Nilipoitazama likanijia swali kichwani hivi nanufaika na nini kwa unywaji wangu huu wa soda. Nikagundua sifahamu manufaa yeyote. Hususani kiafya zaidi ya kuburudika tu.

Kwenu wananzengo hivi soda ina manufaa yeyote kiafya? Ni yapi hayo? Na hasara pia itapendeza tukikumbushana zaidi.
 
Ongezea na faida za beer,ili tuone nani ana faidi vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi soda zinanikataa kabisa, nikinywa hata soda moja tu najisikia kama viungo vya mwili vimelegea. Lakini nikinywa safari baridi inayotoa jasho najisikia mwenye nguvu, furaha na amani nafsini. Inawezekana bia ina madhara machache kuliko soda (kwa maoni yangu). Hii ni kutokana na ninavyojisikia mara baada ya kunywa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom