Ni faida zipi anazipata mnywaji wa soda kiafya?

... kwanza I declare interest; I hate ulevi; I mean unywaji wa pombe aka vilevi. Pili, tukizungumza objectively kitu chochote in excess mwilini kina madhara; ila in comparison kati ya lager na soda, kitaalamu lager ni nafuu kuliko soda. Kwanza lager ni kimea/ngano inapikwa inawiva tofauti na soda ambayo ni just mixture of chemicals. What matters is how much you consume and at what frequency.
Una uhakika kuwa bia haina Chemicals ?
 
Bahati yenu sijakuta yeyote ameiponda my dear coca cola classic.. Haka ka kinywaji bana usiombe uwe na kiu ile ya mchana(unayoipata baada ya hustling za kutafuta pesa) halafu ukapate kakiwa kabariiiid kanatoa jasho! Dah mi hua najihisi kama napaa
 
Mie najitahidi kuacha ila Kuna siku natamani coca cola bariidii...
Halafu coca na pepsi nahisi zina kakilevi, yaani mimi nikikaa siku moja au mbili bila kupata kuna muda kabisa sijisikii fresh akili yangu yote inakuwa huko.
Kuna pindi nilizidisha kila siku ilikuwa ni mara mbili kwa siku.
 
... kwanza I declare interest; I hate ulevi; I mean unywaji wa pombe aka vilevi. Pili, tukizungumza objectively kitu chochote in excess mwilini kina madhara; ila in comparison kati ya lager na soda, kitaalamu lager ni nafuu kuliko soda. Kwanza lager ni kimea/ngano inapikwa inawiva tofauti na soda ambayo ni just mixture of chemicals. What matters is how much you consume and at what frequency.
Wazee wa kilaji bana mnajuaga kumtetea mpendwa wenu hadi basi.. Kama soda ina sukari na bia Ina nafaka si mwisho wa siku end product ya vyote ni glucose(simple sugar), ambayo ni crucial kwa kuupa mwili nguvu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom