Ni faida zipi anazipata mnywaji wa soda kiafya?

manufaa ni kiburudisho kama ulivyoburudika acha kutafuta kitu kwa watu. ni kama mgegedo tu zile kelele za demu na kushusha wazungu ndo faida na burudani
Hello...!!
Baada ya kupata kiamsha kinywa nikajisikia hamu ya soda (pepsi) ikabidi niagize.
Nikapiga mafundo kadhaa mpaka ikafika nusu. Nilipoitazama likanijia swali kichwani hivi nanufaika na nini kwa unywaji wangu huu wa soda. Nikagundua sifahamu manufaa yeyote. Hususani kiafya zaidi ya kuburudika tu.

Kwenu wananzengo hivi soda ina manufaa yeyote kiafya? Ni yapi hayo? Na hasara pia itapendeza tukikumbushana zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah umetaja pepsi nimepata kiu ghafla, hebu fanya na mimi nipate pepsi mwanangu mpendwa

Sent using Jamii Forums mobile app
piga hiyo
soda-diabetes-pexels.2e16d0ba.fill-735x490.jpeg


Niga from Timbuktu
 
Mimi binafsi soda zinanikataa kabisa, nikinywa hata soda moja tu najisikia kama viungo vya mwili vimelegea. Lakini nikinywa safari baridi inayotoa jasho najisikia mwenye nguvu, furaha na amani nafsini. Inawezekana bia ina madhara machache kuliko soda (kwa maoni yangu). Hii ni kutokana na ninavyojisikia mara baada ya kunywa.
... kwanza I declare interest; I hate ulevi; I mean unywaji wa pombe aka vilevi. Pili, tukizungumza objectively kitu chochote in excess mwilini kina madhara; ila in comparison kati ya lager na soda, kitaalamu lager ni nafuu kuliko soda. Kwanza lager ni kimea/ngano inapikwa inawiva tofauti na soda ambayo ni just mixture of chemicals. What matters is how much you consume and at what frequency.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom