Anthony Diallo alipata nini kwa kutumia Star Tv kupotosha jamii wakati wa Uchaguzi Mkuu 2015?

Tungejitahidi kuelekeza akili na nguvu zetu ktk kujenga nchi pia kutafuta maendeleo BINAFSI, mbona uchaguzi umeshapita aliyepata kapata ,tukiendelea kuhoji nani kapata nini ,tutaishia kupata MAONO,hatimaye tutaenda KUTUNZWA NA MAKAKA WAZOEFU WA KISONGO!
 
Tungejitahidi kuelekeza akili na nguvu zetu ktk kujenga nchi pia kutafuta maendeleo BINAFSI, mbona uchaguzi umeshapita aliyepata kapata ,tukiendelea kuhoji nani kapata nini ,tutaishia kupata MAONO,hatimaye tutaenda KUTUNZWA NA MAKAKA WAZOEFU WA KISONGO!

Halafu wafuasi uchwara watakuita 'Mandela' wa Tanzania. Fadhaa ya karne hii .
 
Sioni kosa lake. Kuna vyombo vya habari vilijitanabaisha wazi wakati wa kampeni kwamba vipo CCM au vipo UKAWA.

Na hili ni la kawaida kote duniani. Mfano fuatilia coverage ya vita ya siria. Kisha vita ya Libya. Kisha vita ya Iraki.

Vyombo vya magharibi vinaeleza maovu ya warusi na Assad huko siria. Lakini havielezi maovu ya marekani na washirika wake huko Libya na Irak.

Angalia pia magazeti ya uhuru na Tanzania Daima yanaandika nini.

Ni kawaida media house flani kuegemea mlengo flani. Ni maendeleo.
 
Tungejitahidi kuelekeza akili na nguvu zetu ktk kujenga nchi pia kutafuta maendeleo BINAFSI, mbona uchaguzi umeshapita aliyepata kapata ,tukiendelea kuhoji nani kapata nini ,tutaishia kupata MAONO,hatimaye tutaenda KUTUNZWA NA MAKAKA WAZOEFU WA KISONGO!
Lengo ni kuweka maangalizo kwa vizazi vijavyo kwamba kuudanganya umma kwa sababu ya kutaka kubebwa haifai , maana hata ukibebwa wewe katikati ya umasikini wa kutupwa haina maana yoyote , zaidi ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu .

Hiyo porojo yako ya maono na kisongo sitakujibu kwa leo bali muda ndio utakaojibu kwa niaba yangu , nakutakia uhai mrefu sana .
 
Dah! Sahara Communication ilipewa ahadi hadharani kwamba itabebwa. Upendeleo wa wazi kabisa lakini kwa kuwa ulifanywa na waliozoeleka kufanya madudu watu hawakushangaa!!
Na kweli anabebwa maana king'amuzi chake usipolipa hupati channel yoyote. Kwa maana hiyo, hata tbc ambayo inaendeshwa kwa kodi zetu lazima uilipie ndiyo uione ndani ya Continental!!!
 
Kuna wakati mtu anajisikia furaha kutoa kile alichonacho kwa ajili ya kufurahisha kundi Fulani la watu kama afanyavyo Mengi kwa walemavu na makundi mengine (altruistic motive). Ni sawa na watoa damu hawategemei malipo

Lakini kuna watu wanatoa kwa lengo la kuonekana na watawala kwamba Fulani anajitolea ingawa wanapenda kuonekana lakini hawahitaji chochote kutoka kwa watawala.

Kuna watu wanajitolea kwa sababu siku za nyuma kuna watu walijitolea kumsaidia hivyo kama sehemu ya kulipa fadhila nae hujitolea kwa wengine

Kuna watu wanajitolea kwa lengo la kunufaika na kile walichokitoa na huwa wanataka kikubwa kuliko walichotoa (lobbyist) na kundi hili ni kubwa kuliko hayo niliyotajwa hapo juu. Nenda bar wanaume 90% akimnunulia mhudumu... atataka refund in kind.

Mwisho kuna kundi linataka kujitolea ili asifiwe, atukuzwe aonekane na hawa hupenda kutoa na kulipia hata airtime waonekane na watu wawasifie.


Je waliosaidia CCM kwenye uchaguzi uliopita wapo Kundi gani kati ya hayo? Mzee wetu yupo Kundi gani?
 
Huyu jamaa ni mwanaccm kama walivyo matajiri wengi wa nchi hii , anamiliki kituo cha TV kama alivyo mwanaccm mwenzake Reginald Mengi .

Sasa cha kushangaza huyu aliamua kukiuka maadili ya utangazaji , kwa kuamua kuwanyima coverage wagombea wengine na kuwapromote wagombea wa ccm tu , na nina hakika kama tungekuwa kwenye nchi zenye kufuata sheria , vyombo vyake vya habari vingekuwa historia.

Nimebaki najiuliza hivi kwa mtu mzima kama huyu kuamua kupotosha umma kwamba ni ccm pekee inayoweza kuleta maendeleo kwa nchi hii , HUKU AKIJUA KWAMBA SIYO KWELI ( maana uko ushahidi wa wazi kwamba wameshindwa kwa karibu miaka 60 , hivyo hawataweza kwa miaka mitano ) , ALILENGA KUPATA NINI ?

Ikumbukwe kwamba kwa watu wa kanda ya ziwa kuangalia STARTV ni kama ibada , hivyo kuitumia kwa malengo ya kupotosha ni hatari sana !
Chadema wameshindwa kujenga ofisi kwa miaka mingapi??
 
Kweli wapiga dili mnaendelea kuchanganikiwa threads za u bahaluli hizi
 
Aliyeturoga watanzania ameshafariki....hivyo tusubiri huruma ya mungu

Sent from Microsoft Lumia 950xl Lte
 
Kweli wapiga dili mnaendelea kuchanganikiwa threads za u bahaluli hizi
wapiga dili wanahela na wanakula good time kuliko lumumba yote. Wapiga dili wana akili na hela zao sasa hivi zinapiga biashara china nchi jirani. Wala kodi zenu hawazijui. Mnau uchumi kwa akili za magazeti ya mwanaspoti na watanzania.
 
Back
Top Bottom