But your argument doesn't make sense. May be discriminatory. If I may ask, do you think Diallo had same potential to support Jakaya in 2010 as he had potentials in 2015 to support Magufuli? Or rather you are misusing your freedom of expression ?Exactly.
Jamaa anasoma tarakimu tu
Mh. Hiyo ROI ilikuwa ushindi wa mgombea wake + super profit kwa kukwepa kodi. Sasa hii ya pili vipi?Nafikiri Diallo atakuwa mwenye furaha iliyopea maana mgombea wake ndiye aliyeibuka mshindi. Haiyumkini hiyo ni faida (ROI) ya kujivunia.
Huu ndio msingi wa hoja yangu .Naona huyu Diallo alifanya hivyo kwaajili ya Ukanda na Ukabila tu. Mbona hakufanya hivyo kwa Kikwete 2005&2010.
Ana madeni hadi makalioni,unadhani kwa nini watangazaji wake wote wazoefu wameondoka?Unfortunately , Diallo doesn't feel that. As we chat here, Diallo is happy, relaxed and highly motivated to use his structures to support CCM come 2020.
Take it or leave it.
Nakuona Diallo Junior unavyopambana kufa na kupona , hivi bado mnalipwa ileile elfu 7 au sasa hivi wamewaongezea ?But your argument doesn't make sense. May be discriminatory. If I may ask, do you think Diallo had same potential to support Jakaya in 2010 as he had potentials in 2015 to support Magufuli? Or rather you are misusing your freedom of expression ?
Amekomaa hatari yaani. Ni agent wake.Nakuona Diallo Junior unavyopambana kufa na kupona , hivi bado mnalipwa ileile elfu 7 au sasa hivi wamewaongezea ?
You are right mkuu, kwa wenzetu waliojitambua vyombo vyake vya habari vingejifia natura death.Huu ndio msingi wa hoja yangu .
Si kuna watangazaji wa Uhuru Fm aazimwe !Ana madeni hadi makalioni,unadhani kwa nini watangazaji wake wote wazoefu wameondoka?
Hata mishara shida come next election atakuwa ama kakiuza au kafilisiwa
Na kamwe tusithubutu kuwapa nafasi .Watu kama Diallo ndiyo wameaaidia kuididimiza Tanzania hii!
Nakuona Diallo Junior unavyopambana kufa na kupona , hivi bado mnalipwa ileile elfu 7 au sasa hivi wamewaongezea ?
Ana madeni hadi makalioni,unadhani kwa nini watangazaji wake wote wazoefu wameondoka?
Hata mishara shida come next election atakuwa ama kakiuza au kafilisiwa
Nakuona Diallo Junior unavyopambana kufa na kupona , hivi bado mnalipwa ileile elfu 7 au sasa hivi wamewaongezea ?
Mh. Hiyo ROI ilikuwa ushindi wa mgombea wake + super profit kwa kukwepa kodi. Sasa hii ya pili vipi?