Ni East Africa Tv wamekosea au Mheshimiwa sana ndio kakosea?

Melvine

JF-Expert Member
Apr 3, 2013
665
1,261
Kama ni kweli Rais Magufuli kakosea kusema maneno hayo basi ilibidi kituo hicho cha habari kisirushe habari hiyo kwa maana habari hiyo haiko sahihi kwa maana ya kufuga hao wanyamapori kwa watu binafsi.

Uwedi wa anayeendesha Account hizo za kijamii uko chini sana na anapaswa kujitafakari.

tapatalk_1578416556832.jpeg


Melvine
 
Hii ni kwa tunaoishi nnje ya miji huku bush ndani ndani

nyie mnaokaa kiinondoni,sinza,tiptop,nk kibali chenu cha kufuga Njiwa tu

kidogo na nyau nyau hivi,ila sisi wa huku tumeambiwa hata TEMBO ruksa.

Tufate tu utaratibu,mi nipo zangu namalizia utaratibu wa kufuga Simba na chui 😂
 
Yani mdude siku akinasa,atalia mpaka makamasi yatokee maskioni

muache aruke ruke tu,watu wana m zooom kimya kimya,ipo day ata nasa.
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Aiseee...zoo.??? Dar es Salaam zoo tu kwenda kasheshe pale Kigamboni.

Anyway acha tuone ni jinsi gani Watz watakavyopokea taarifa hii.
Alikuwa akimaanisha watu wawe na zoo, zoo unakuwa na kibali..sijui kiswahili cha zoo ni nini

Melvine
 
Kutengeneza Zoo Ina gharama kubwa sana
Itabidi uweke wanyama wengi na wanahitaji uangalizi wa karibu sana kwa maradhi
Chakula chao kama majani na nyama kila siku
Kama London zoo ilitaka kufungwa kwa kukosa hela mpaka mwarabu akaokoa jahazi itakuwa mimi



Sent from my iPhone using Tapatalk
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom