Ni dua gani ya kumuombea mtu aliokudhulumu ili apate mikosi?

Wakuu kwanza samahanini kwa kuwasumbua, Pili. Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri wenu kwa kilichonipata. Nitaenda kuwahadithia kwa kifupi sana
.
Mimi ni kijana wa kiislamu, naishi Dar, mwezi mmoja uliopita au mwezi na nusu nilidhulumiwa pesa tsh 2.7M ( million 2 na laki 7 ) sikwambii maumivu nilionayo moyoni, yaani naumia sana halafu alionidhulumu ni mtu wangu wa karibu sana.

Mtu niliemuamini kwa kila kitu, nimekuwa nikiomba Mungu, Mungu naomba unilipie, mpe mabalaa na mikosi ya kila aina, huwezi amini hata saivi ninavyoandika uzi huu nimetoka kuomba, lakini naona bado Mungu hajanilipia.

Je nifanyaje, kuna dua gani ya kumuomba Mungu ampe mikosi? Yaani kiasi kwamba ajute kula jasho langu, mimi ndio kwanza mwaka huu nimefungua kibiashara changu nimeanza kutafuta maisha alafu ananidhulumu.

Nifanyaje? Ndugu zangu naumia mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
inaitwa click clack bang...kama unataka kujua jinsi inavyofanywa ni pm
 
huyo dawa yake kifiro tu hamna namna.

Tafuta vijana hata 6 wakamfir.e kisha wamtoboe macho .
Ila hakikisha unatengeneza mazingira asikujue kabisa.

Tulia hata miezi miwili au hata mwaka ukiwa unacheka nae kama kawaida ili ajue umesahau .
😂😂😂
 
Kama kweli umedhulumiwa kuwa na subira,Usimuamrishe Mungu ajibu unavyotaka wewe tena ikiwezekana sahau kabisaa...kuwa kama humuoni. Kuna siku utashangaa anakuja kugonga hodi atakalokuambia hutaamini...
 
Mkuu pole sana..pia utambue kwamba M/mung ktk dua ambazo hacheleweshi ktk kujibu ni ya km yko ya dhulumat,..swala rakaa mbil afu muuleze M/mung maswahibu yko yte jpo yy ashayajua lkn mshitakie tu..afu utaona majibu yke ..mabays hapa hapa dunian..akhera huko ni hesabu..

Nikupe na ka.kisa kidogo ..jamaa alimfanyia dhuluma.jiran yke sehemu ya ardhi sabb yy anapesa na akajengs ple km store kubwa iv ya kuifadhia baadh ya mali zake na hyo ni maenek yalio karibu na reli sasa baada ya miaka 11 mung analipa ile dhuluma bhn wa reli wanataka eneo lao la mita 30 na jamaa yuko ndan ya hizo mita so sasaiv naongea jmaa anabomoa hilo jengo lake lenye thaman kubwa..mung yupo na analipa hap hapa..na njia.za kulipa ni nying.
Imani nyingine bwana!
 
wewe ni muislamu unatakiwa ufanye kama dini inavyotuambia 1) amka usiku kati ya saa nane sali sala inayoitwa sala hajat rakaa mbili katika sujud muombe allah mueleze jina la aliyekudhulumu na mwambie yaa allah mimi nimezulumiwa na fulani na pesa ni haki yangu nimeipata kihalali naomba aliyenidhulumu basi wewe ndie mjuzi wa kila kitu naomba haki ipatikane duniani na akhera) usijaribu wewe kumhukumu mpe balaa au mfanye hivi na vile hapana jinsi nilivyokuelekeza sema hivyo hivyo na katika sala za kawaida fanya hivyo utakuja kuniambia ndugu yangu jinsi allah atakavyomfanya ila uwe na subira maana allah hakujibu hapo kwa hapo inachukua mda mrefu
 
Wakuu kwanza samahanini kwa kuwasumbua, Pili. Lengo la uzi huu ni kuomba ushauri wenu kwa kilichonipata. Nitaenda kuwahadithia kwa kifupi sana
.
Mimi ni kijana wa kiislamu, naishi Dar, mwezi mmoja uliopita au mwezi na nusu nilidhulumiwa pesa tsh 2.7M ( million 2 na laki 7 ) sikwambii maumivu nilionayo moyoni, yaani naumia sana halafu alionidhulumu ni mtu wangu wa karibu sana.

Mtu niliemuamini kwa kila kitu, nimekuwa nikiomba Mungu, Mungu naomba unilipie, mpe mabalaa na mikosi ya kila aina, huwezi amini hata saivi ninavyoandika uzi huu nimetoka kuomba, lakini naona bado Mungu hajanilipia.

Je nifanyaje, kuna dua gani ya kumuomba Mungu ampe mikosi? Yaani kiasi kwamba ajute kula jasho langu, mimi ndio kwanza mwaka huu nimefungua kibiashara changu nimeanza kutafuta maisha alafu ananidhulumu.

Nifanyaje? Ndugu zangu naumia mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana
 
Usiingilie mamlaka ya Allah ktk kutoa hukumu..
Tunaambiwa kwamba Dua ya aliyedhurumiwa huwa apigi kona,ukiomba inanyooka moja kwa moja mpaka kwa Allah.
Hutakiwi kumuombea mabaya,but mshitakie kwa muumba kwamba amekudhulumu haki yako na yeye Allah atakurejeshea kwa njia nyingine,kisha huyo mdhulumaji wako msubiri siku ya kiyama ili akusaidie mzigo utakakua nao kichwani maana siku hiyo hatokua na pesa ya kukulipa.
Nakupa mfano1..wakati naanza maisha nilikua nikiuza maji kwenye mkokoteni,sikua na acc bank so kuna kakangu nikawa nampa anitunzie maana nilikua nakaa kwake huku nikifanya na kazi za nyumbani kwake za kuhudumia mifugo na kuwapeleka watoto shule,baada ya miaka miwili nikawa nimepata 780,000/= na my bro akakili yes ndiyo pesa aliyonayo na yupo tayari kunipa hiyo pesa,nikamwambia poa ngoja niende mjini kuangalia bei ya mahitaji yangu ili ukinipa pesa nikanunue nirudi kwa wazazi.Nikaenda mjini kuulizia jembe la kukokotwa na ng'ombe lilikua 75,000/=,baiskel mpya 70,000/=,Godoro kubwa dodoma 28,000/=,na bahadhi ya mahitaji mengine ikiwamo vitenge na nguo za mzee na wadogo zangu.Ilikuja kama 300,000/= for shopping.Then nyingine ningeenda kununua ng'ombe home ili nianze maisha ya kujitegemea.
Niliporudi nikamwambie nipe kesho asbh hiyo pesa ili nifanye manunuzi yangu......sikuamini aliposema tupige mahesabu nilikua nakula bei gani kwa siku ili anikate kabisa then change itakayobaki ndio haki yangu,baada ya mahesabu kupigwa nikakuta nadaiwa 30,000/= na kaka yangu huyo wa mama mkubwa...nikamwambia basi nikopeshe elfu10 ili nitumie kurudi nyumbani nikifika home ntapiga vibarua ntamtumia pesa yake..jamaa akakataa..ikanibidi nikae tena mwaka mzima bila kazi...lakini nikakumbuka kuna mungu,mungu ambaye hajui kumuonea mtu..nikamlilia mungu..haikupita wiki1 moja nikapata kibarua cha ulinzi ambacho ndicho kilichonipelekea leo hii mimi Wonderful mambo yangu yakawa supa na kupitia mlango huo huo wa kazi za ulinzi niliweza kujikuta siku moja nikiwa Europe huku familia yangu ikiishi vzr home.Now days yule aliyenidhulumu ni masikini na biashara zote zilikufa,magari yakafa and now days anafanya vibarua huko maeneo ya Dodoma na elimu yake ya fm6..mie wa darasa la7 nakula good life.
Wasalaam!
Pole sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom