Ni dhambi kumtongoza demu kipindi cha Ramadhani?

Ni dhambi kumtongoza demu kipindi cha Ramadhani?

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
17,029
Reaction score
23,695
Kama swali ulivyoliona kwenye tittle je ukiwa ni mkristo ukamtongoza demu wa kiislam kipindi Cha mfungo Ni dhambi?bila kufanya mapenzi
 
Kama swali ulivyoliona kwenye tittle je ukiwa ni mkristo ukamtongoza demu wa kiislam kipindi Cha mfungo Ni dhambi?bila kufanya mapenzi
Maskini ndio akili hizi za team domo,
No wonder,
Lol

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
 
Maskini ndio akili hizi za team domo,
No wonder,
Lol

Corona Virus: Stay Home the only Medicine found.
Dada mbona unamatatizo kiasi hicho mambo ya diamond yanakujaje humu? Au mada ujaelewa?
 
Tena mwezi wa Ramadhani wanakuwaga wepesi sana..unambandua anaoga janaba na anaendelea kufunga fresh tu. Alaf wanakuaga watam sana mwezi wa Ramadhani
 
Back
Top Bottom