Ni dhahiri Zitto atagombea urais wa JMT 2020 na ubunge Kigoma mjini atamwachia agombee Abdul Nondo


Bobwe2

Bobwe2

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2014
Messages
2,104
Points
2,000
Age
39
Bobwe2

Bobwe2

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2014
2,104 2,000
Hela yako tu .Wataka kugombea mnapigwa mnada na mangi anayeshinda anapewa kuwa mgombea.Hata chadema ni pesa yako tu wagombea mnaingiizwa kwenye mnada the highest bidder anapewa
We jamaa sijui wamekufanya nini chadema,yaani mpka kwenye ndoto unaitaja chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
17,620
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
17,620 2,000
Mnahangaika sana !!. Kwani Zitto akigombea u Rais kosa liko wapi wana CCM ???!!!
Nyie si Maghufuli anawania ?! Hamridhiki ?! Hangaikeni na ya kwenu ,
Siyo mnataka m control na nyumba ya jirani. "HAYAWAHUSU "

KWA KWELI WIVU UNAWASUMBUA SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee sasa mbona wewe unaacha mbege na kumzungumzia Magufuli anakuhusu nini?!...... We endelea kupata kisusio na mapupu hapo Ufipa wenzako tunavuka bahari!
 
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Messages
17,620
Points
2,000
J

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined May 27, 2014
17,620 2,000
Sio vibaya ukiwasaidia kupotea lakini nadhani nia yako hiyo haitafanikiwa. 2020 baado sana. Tungojee kwanza uchaguzi wa madiwani ndio tuanze ramli chonganishi
Kwani uchaguzi wa madiwani lini?
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,149
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,149 2,000
Habari hizi nimezisikia pale mwananyamala kisiwani lilipokuwa tawi la Cuf ambalo sasa limebadilishwa na kuwa tawi la ACT wazalendo.

Sina mengi ya kusema ila naitafakari nafasi ya Tundu Antipas Lisu kama naye atagombea kupitia UKAWA sijui hali itakuwaje ila yajayo yanafurahisha.

Maendeleo hayana vyama!
Acha propaganda za kitoto,mmeshauriwa na kada wenu Bollen tumieni propaganda mpya!!
 
Mayonene

Mayonene

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2016
Messages
1,357
Points
2,000
Mayonene

Mayonene

JF-Expert Member
Joined Mar 16, 2016
1,357 2,000
Kwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa

Hawa wako wapi sasa hivi?

Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?

Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
Bila tume huru ni vigumu sana kusemakwa uhakika kama hao wote walishindwa au hawaku tangazwa.
 
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
1,258
Points
2,000
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
1,258 2,000
😁😁😁😁 abdul Nondo ataandika historia bila shaka
 
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2014
Messages
27,368
Points
2,000
hearly

hearly

JF-Expert Member
Joined Jun 19, 2014
27,368 2,000
Kwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa

Hawa wako wapi sasa hivi?

Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?

Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
Yaani inakuwa ndio kaburi lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2013
Messages
12,189
Points
2,000
Bonny

Bonny

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2013
12,189 2,000
Hivi Upinzani mmeshwah kuwaza Bungeni kukiwa na Maalim, Lissu, Zito , Mbowe, na wengneo weng wa upinzani kutakuwaje?, By default tu ACT watachukua Pemba yote, wakiweka Ukawa wa CDM na ACT nguvu kwa kutafuta wabunge na madiwan huku bara nin kitatokea
 
M

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2015
Messages
4,894
Points
2,000
M

Mbase1970

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2015
4,894 2,000
😁😁😁 ya kuwa mbunge kijana kbsss ...iv kasha graduate kweli ? Maana kama haja graduate itampa shida kidogo
Amuulize Mbatia na Kimaro (r.i.p) ni mdogo anajidanganya hizi siasa za Afrika ukitaka kusifiwa utaishia bila degree ama ataungaunga kama mbatia na kimaro.

Tunajua huko nyuma yaliyotokea hawsa watoto wetu wa juzi hawafahsmu
 
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2014
Messages
1,258
Points
2,000
luangalila

luangalila

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2014
1,258 2,000
Amuulize Mbatia na Kimaro (r.i.p) ni mdogo anajidanganya hizi siasa za Afrika ukitaka kusifiwa utaishia bila degree ama ataungaunga kama mbatia na kimaro.

Tunajua huko nyuma yaliyotokea hawsa watoto wetu wa juzi hawafahsmu
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ inatakiwa awaone watu kama nyinyi muupe ushauri kidogo
 

Forum statistics

Threads 1,284,196
Members 493,978
Posts 30,816,893
Top