Uchaguzi 2020 Ni dhahiri Zitto atagombea urais wa JMT 2020 na ubunge Kigoma mjini atamwachia agombee Abdul Nondo

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,598
141,415
Habari hizi nimezisikia pale mwananyamala kisiwani lilipokuwa tawi la Cuf ambalo sasa limebadilishwa na kuwa tawi la ACT wazalendo.

Sina mengi ya kusema ila naitafakari nafasi ya Tundu Antipas Lisu kama naye atagombea kupitia UKAWA sijui hali itakuwaje ila yajayo yanafurahisha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Kwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa

Hawa wako wapi sasa hivi?

Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?

Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
 
Acha upotoshaji, Lowassa hajawahi kuwa mpinzani bali mgombea urais kwa tiketi ya upinzani. Slaa aligombea 2010, baada ya hapo akawa bora na imara zaidi. Lipumba kura zake nyingi zilipatikana siku za nyuma upinzani ukiwa ZnZ zaidi. Mrema aligombea kupitia upinzani kama kulipiza kisasi dhidi ya ccm. Hakuwa na mikakati sahihi. Pamoja na mazingira hayo, lakini vyombo vya dola huchangia sana kuwamaliza viongozi wa upinzani.
 
Habari hizi nimezisikia pale mwananyamala kisiwani lilipokuwa tawi la Cuf ambalo sasa limebadilishwa na kuwa tawi la ACT wazalendo.

Sina mengi ya kusema ila naitafakari nafasi ya Tundu Antipas Lisu kama naye atagombea kupitia UKAWA sijui hali itakuwaje ila yajayo yanafurahisha.

Maendeleo hayana vyama!
Mnahangaika sana !!. Kwani Zitto akigombea u Rais kosa liko wapi wana CCM ???!!!
Nyie si Maghufuli anawania ?! Hamridhiki ?! Hangaikeni na ya kwenu ,
Siyo mnataka m control na nyumba ya jirani. "HAYAWAHUSU "

KWA KWELI WIVU UNAWASUMBUA SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio vibaya ukiwasaidia kupotea lakini nadhani nia yako hiyo haitafanikiwa. 2020 baado sana. Tungojee kwanza uchaguzi wa madiwani ndio tuanze ramli chonganishi
 
Back
Top Bottom