Uchaguzi 2020 Ni dhahiri Zitto atagombea urais wa JMT 2020 na ubunge Kigoma mjini atamwachia agombee Abdul Nondo

Mnahangaika sana !!. Kwani Zitto akigombea u Rais kosa liko wapi wana CCM ???!!!
Nyie si Maghufuli anawania ?! Hamridhiki ?! Hangaikeni na ya kwenu ,
Siyo mnataka m control na nyumba ya jirani. "HAYAWAHUSU "

KWA KWELI WIVU UNAWASUMBUA SANA

Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashee sasa mbona wewe unaacha mbege na kumzungumzia Magufuli anakuhusu nini?!...... We endelea kupata kisusio na mapupu hapo Ufipa wenzako tunavuka bahari!
 
Habari hizi nimezisikia pale mwananyamala kisiwani lilipokuwa tawi la Cuf ambalo sasa limebadilishwa na kuwa tawi la ACT wazalendo.

Sina mengi ya kusema ila naitafakari nafasi ya Tundu Antipas Lisu kama naye atagombea kupitia UKAWA sijui hali itakuwaje ila yajayo yanafurahisha.

Maendeleo hayana vyama!
Acha propaganda za kitoto,mmeshauriwa na kada wenu Bollen tumieni propaganda mpya!!
 
Kwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa

Hawa wako wapi sasa hivi?

Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?

Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,

Bila tume huru ni vigumu sana kusemakwa uhakika kama hao wote walishindwa au hawaku tangazwa.
 
Kwa Tanzania ukijaribu kugombea Urais kupita upinzani ndo umepotea kabisa,
1.Mrema
2.Slaa
3.Lipumba
4.Lowassa

Hawa wako wapi sasa hivi?

Hawa ndo walikuwa vipenzi vya wapinzani nchini lakin wako wapi?

Mbaya zaid uwe mbunge kama Zitto au alivyokuwa slaa ndo ukishindwa urais unakuwa screpa kabisa,
Yaani inakuwa ndio kaburi lako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Upinzani mmeshwah kuwaza Bungeni kukiwa na Maalim, Lissu, Zito , Mbowe, na wengneo weng wa upinzani kutakuwaje?, By default tu ACT watachukua Pemba yote, wakiweka Ukawa wa CDM na ACT nguvu kwa kutafuta wabunge na madiwan huku bara nin kitatokea
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ ya kuwa mbunge kijana kbsss ...iv kasha graduate kweli ? Maana kama haja graduate itampa shida kidogo
Amuulize Mbatia na Kimaro (r.i.p) ni mdogo anajidanganya hizi siasa za Afrika ukitaka kusifiwa utaishia bila degree ama ataungaunga kama mbatia na kimaro.

Tunajua huko nyuma yaliyotokea hawsa watoto wetu wa juzi hawafahsmu
 
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ inatakiwa awaone watu kama nyinyi muupe ushauri kidogo
 
Back
Top Bottom