Ni dhahiri Mahakama ya Tanzania ni mshirika mkuu wa kutotenda haki nchini

Huyu jaji kupandishwa cheo sababu ya kesi ya mbowe na dini yake tu. Hana uadilifu wa kushika madaraka makubwa kama aliyozawadiwa
 
Haya mambo ya kesi yasikie tu kwa mwenzako,kwa hali ilivyo nchi hii wakubwa au wenye pesa wakiamua kukupoteza hakika utapotea tu,hili jambo liliwahi nifka hakika ctosahahau hili nchi
 
Mboye na sabaya nani mwenye kesi ya kubumba?

Kingai na mahita walipoteana mahakamani kwenye maswali Kuhusu PGO inavyofanya kazi

Jaji siyani kumbuka kauli hii "Ee mwanadamu uliyezaliwa na mwanamke siku zako za kuishi dunian ni chache"
 
Huyu jaji kupandishwa cheo sababu ya kesi ya mbowe na dini yake tu. Hana uadilifu wa kushika madaraka makubwa kama aliyozawadiwa
Ulichokisema ni 100%, japo watu wanapata shida kuunena ukweli huu.

Kwa sasa huyu mama anaunda kundi lake la kumlinda na kupitisha ajenda zake. Na katika hili kwanza anajishika kwenye kwenye vigezo viwili.

Wanaoshamgilia sasa, huko mbeleni watapiga kelele sana, watakapojiona wote wapo uani wakati wenzao wakiwa chumbani.
 
Maendeleo hukwama kutokana na kunyimwa haki, 'whatever affect a person directly, affect all indirectly'
 
Wapenzi wa chadema mna Tatizo la ubinafsi kama wa Tundu Lissu. Tunasema sheria ni msumeno hukata pande zote. Mnataka mahakama iwe inapendelea chadema tu? Tulishuhudia majigambo ya makomandoo PGO etc na akina Erythrocyte wakawa wabobezi wa sheria! Tukawmbiwa Amsterdam keishatinga uwanjani. Tukamwona Sky Eclat anavyonguruma na kama kawaida brazaj akionesha ufahari wa kufasiri sheria. Mnakera muwe na subra wakati mwingine! Maneno mengi na tambo za kumnyanyapaa Kiangi na mtoto wa mahita
 
Siku wewe na ndugu yako yatakapokufika na utaelewa alichokiandika hugo Jamaa
 
Umesema vema kabisa,hawa jamaa wao hutaka lao lipite tu hata Kama ni la hovyo ndo hawahawa meno yote yalikuwa nje Sabaya alipomwagiwa mvua ya miaka,na angeshinda kesi wangesema majaji wanapendelea.
Siyo wa kuwasikiliza hawa hawana chema,hizi zote ni dalili za kutaka nchi isitawalike.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…