Ni dakika 5 za Lowassa


Afya inatoka kwa Allah pekee kama hayo mabaya uliyoyasema hapo juu yametoka moyoni basi hakika na wewe utalipwa hapahapa duniani siku zi mbali sana
 
Mbona dak 5 nyingi jamani,EL angeongea tu dk 1,tosha shida ya nini,hotuba ndefu na ahadi za danganya Toto tangia 1961 hadi Leo,no! No! EL tunamwelewa,tunamwamini,tumemkubali yeye apite tu atusalimie,atupungie mkono...tosha. Wanaotaka hadithi hadithi za chekechea avuke mto.
 
Team Pombe at work
 

Attachments

  • 1442172961874.jpg
    61.6 KB · Views: 156
Wameshasema hata akiwa maiti watamchagua tu. Huko mbele watakuwa wanamshikilia asimame tu kama lisanamu watu wanamuona halafu "Pipozi pawaaaaaaaaaaaaaaa" mkutano kwisha. Haya ni mabadiliko ya aina yake mkuu. Let's wait and see.


Wee kadogo, pamoja na kuwa umenichekesha saana tu, lakini MABADILIKO YAPO PAAALE PAAALE.

Sisyemu imetufanya wachooov ilhal! We acha tu hata tuimbie sanamu PAWAAAA!

LONG LIVE LOWASSA
LONG LIVE UKAWA
 
Hawa wanaojifanya wanajua ugonjwa wa mkuu wakamjaribu kumgeiya waone..
 

Teh teh mipoooooooooooooooov inakutoka na bado.........wazee wa kujenga reli kwa kiwango cha lami kazi mnayo...wazee wa msituadhibu lazima muombe poo............... makunguni mtajibeba...............
 
Huyu mwizi mkuu wan chi na fisadi mkuu ambaye polisi, mgambo, takukuru, jeshi , wote wamemuacha anadunda mtaani Kwa miaka 8 na bado anadunda, anachukua fomu za uraisi na kugombea bila kukamatwa
Huyu kiongozi mwizi na fisadi ambaye hafai kuwa mgombea wa uraisi wa upinzani ila anafaa kuwa mwenyekiti wa kamati ya usalama ya bunge, na msimamizi wa miradi ya elimu ya serikali, na mbunge wa Monduli
Huyu ndie nayetaka kumchagua huyu.
 
CCM tulieni chini mujipange kwa 2020, mwaka huu waachieni wenyewe......mushasema mengi lkn hakuna kinachobadilika, wananchi wanataka mabadiliko.......mushawadanganya sana wananchi sasa mwisho umefika.
 

tumekusikia lakini kura yangu hakosi.
 
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.

kwanza hata wewe hapo ni mgonjwa.na ugojwa sio kitu cha kujitakia.hata rais wenu msoga nae mgonjwa tu.mgombea wenu pombe alifata nn kwa babu loliondo?
 
Kuliko kushuhudia akina tibajuka,chengez,lukuviz,wasiriaz,ngelejaziaz,ndugaiz na system nzima yote ambayo ilifanikiwa kwa ustadi mkubwa kuwakumbatia mawaziri mizigo ni afadhali hata nichague punda kutinga ikulu.Kwahiyo kwa propaganda kama hizi mnazidi kudhihirisha kuwa Lowasa ni moto wa kuotea mbali.NNAPEZ kila mara alikuwa akihutubia ni lazima amnange babu a.k.a dr mihogo lakini tangu mmemnunua naona huyo NNAPEZ ameufyata,kulikoni?
 

Ccm sio wazima yaani wezi wote wanao .haki ya Mungu ni heri kupigia jiwe kuliko ccm.wamelibaka taifa sijui wanataka kurudi wafanye nini tena zaidi..ccm ilaaniwe na Baba wa taifa huko alipo aseme .Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…