Kama si ulofa ni nini? Utasikia hata uweke jiwe nachagua jiwe na wala siyo ccm. Ni ajabu. Changes is about people. Eti hata likiwa jiwe chadema atapigia jiwe. Then huyu mtu ni lofa. Nafasi ya urais siyo sawa na nafasi ya mwenyekiti wa kijiji bana. Angalia traits za kiongozi bora na siyo chama tu. Mabadiliko siyo chama tu. Ni kiongozi mwenye sifa. Hivi chadema walishawahi hata kutoa sifa za mgombea wao wa urais? Hawalioni hilo eti ngoja atuvushe. No. It is wrong. Tuweke ushabiki pembeni na tutangulize maslahi ya wananchi wote.
awe mwizi awe fisadi awe anajiharishia ni huyo ndie tutamchagua. Haambiwi kitu mtu hapa kuhusu lowasa. Hata akiwa icu hata amekufa amezikwa kaburin kura tuna mpa maamaee. Lowassa is a major pain in your arssses really. Meekoondoo yenu imefumulliwa vbaya sana
Awe mwizi awe fisadi awe anajiharishia ni huyo ndie tutamchagua. Haambiwi kitu mtu hapa kuhusu lowasa. Hata akiwa icu hata amekufa amezikwa kaburin kura tuna mpa maamaee. Lowassa is a major pain in your arssses really. Meekoondoo yenu imefumulliwa vbaya sana
poleni sana makada,inauma ila ndio hali halisi,hakuna namna sasa,acha lowasa awe rais tu!...hakuna namna sasa.
Afadhali yako. Mijitu imekuwa ka vile mitaahira. Eti tumeshaamua Lowassa/Magufuli ndiyo rais. Umeshaamua wewe na nani? Na ukoo wenu? Tumekuwa taifa la wajinga tu wanaotumiwa na wanasiasa hawa wasaka tonge na kisha kutupwa kama ganda la chungwa baada ya uchaguzi kupita. Safari ya mabadiliko ya kweli kwa Tanzania bado sana!Mi huwa sielewi watu Ooohhh Lowasa rais Oohh Magufuli rais kabla ya kusema hayo hebu jiulizeni una kura ngapi? Chamsingi leta hoja tuvutiwe tuone km atatufaa na sisi, siyo unajihakikishia wakati una kura moja tu. Kweendraaaa na propaganda zenu za kuaminisha eti fulani rais wakati kura bado hatujapiga
May God bless Tanzania!hata akiwa kwenye machela, tutampa kura zetu
Mwaga mavituz kuna wapumbavu wengi hawakubali hilo.
Pamoja na hoja zako nzuri lakini pia Lowasa ni mgonjwa sana najua kiundani kabisa kuhusu ugonjwa wake.
Mwandiga ni wapi huko mkuu? Na kayoga ni nini? Unapomjibu mtu hata kama ni tusi hakikisha basi angalau linaeleweka. Sasa ukimtukana mtu na tusi halielewi ataumiaje? Utakuwa umetimiza lengo lako au utakuwa unajitukana mwenyewe tu. Ngaji!Nawe lazima urudi kwenu mwandiga ukauze kayoga
Mambo ya kuwashwa tena? Inaonekana haya mambo ya kuwashwa na kuingiliwa unayajua sana. Hongera zako.Umeambiwa hata maiti atachaguliwa..wewe unawashwa na nini si utulie dawa iingie??