Ni D.r Mwaka au D.r Kingwa.

Craig

JF-Expert Member
Feb 9, 2013
1,356
2,353
Habari za majukumu wana Jamvi, Ninapenda kujua huyu Jamaa anayejiita Dr Mwaka amefikia wapi Kwenye ule mtanange wake na Dr Kigwangalah??? Maaana ni muda mrefu sijamsikia,

Je?? Ndiyo Ameshachezea Knock Out kutoka kwa D.r Kingwa au la, Napenda kujua Nani Alikuwa sterling wa ile movie pendwa, Nawakilisha.
 
Back
Top Bottom