ChekoFagia
Senior Member
- Sep 20, 2025
- 115
- 339
Mdau, kila mtu ana chakula anachokipenda sana. Kwa mfano, mimi naweza kula kande kila siku bila kuchoka. Wewe je?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Chakula gani mie nipende wakati wangu ugali na maharage yenye uozo
Mimi hula ugali wa mtama ndiyo maana mke wangu aliekatakamba humutuu ananikoma tuwapo kwa bed 🛏️.Ugali, aseeh sijawahi kuchoka nisiwe muongo kila mchana lazima nile ugali aseeh,
Ugali naupenda mno sio secretarybird anakula chips