Ni busara kulazimishana kupima VVU?

Ni busara kulazimishana kupima VVU?

si busara hadi muafikiane na kama mwenzio hataki kupima ikiwa hamkuwahi kufanya mapenzi achana nae,huyo dada yupo sahihi
 
Kupima ukimwi kama hutaki nenda kwenu
 
Ni busara kungonoka na mtu mara unalamba koni mara unaenda mgodini bila kujua hali ya afya yake? Je ungejua ni HIV positive ungethubutu hata kungonoka nae na condom hiyooo inayoaminiwa sana? Mbona watu huwa wanatoka balu wakishajua mtu ni positive na huwa hawasemi mpenzi tutaendelea na mapenzi yetu ila tutatumia condom?!
issue sio kumlazimisha mtu au la, issue ni kwamba ambaye hajaambukizwa ana right ya kuji protect na moja ya njia hizo ni kujua status ya partner wake. Kama hataki kupima anafaa achape lapa...!
Maana kwenye mapenzi kuna mengi, nauliza mta kiss na condom? Na huko migodini mnasukua na condom? Eti ashauriwe kupima huku mchezo anautaka!
 
kuna dada mmoja kaniambia sisi wanaume ni wagumu sana kwenda kupima na amemuacha jamaa yake kwa vile kakataa kwenda kupima vvu.je ni busara kumlazimisha mtu au unatakiwa umshauri?

Suala la kupima ngoma ni lazima hasa kwa watu wenye mahusiano. Ukikataa kupima ina maana mbili, moja tayari ushajua kwamba UMEUMIA, sasa unaogopa kuachwa, mbili unaogopa kwa vile koote ulipopita kuna kengele ilikuwa inakulilia kichwani kwamba'HUYU ANA NGOMA' sasa hutaki kuujua ukweli na unajifariji mbele za watu kwamba uko salama lakini ukiwa alone kwa room yako dah, kama MSIBA vile! Solution ni kupima tu kama unao ujipange kwa manufaa yako na ya ncho yako mana taifa linapoteza nguvukazi.
 

'UKIMWI sipimi mpaka dawa ipatikane' teh teh Wazinzi bhana.
 
We umeachwa kwa kugoma acha ujinga nenda kapime
Usituzuge kuna mtu kuna mtu

kaka nenda tu kapime ila nibidi usali coz kupima sio kazi ni kusubiri majibu utatamani ardhi ipasuke uingie daaa namshukuru mungu kwani anaendelea kunipigania na kuniepusha na majanga na kupima ina faida sana kaka hivyo nenda tu kapime.
 
Back
Top Bottom