Dena Amsi
R I P
- Aug 17, 2010
- 13,080
- 4,276
endelea basi japo kidogo!!!eeeh,wewe ulimtimua aliyekuwa amehamia kwako!!!!
Si hiyo red tu tena ilikuwa saa tisa usiku kamata kibegi chake tupa kuleeeeeeeeee
endelea basi japo kidogo!!!eeeh,wewe ulimtimua aliyekuwa amehamia kwako!!!!
aaaaaah Dena Amsi!!!!ulifanya kosa sana!!yaani mtoto wa mwanamke mwenzio unamtimua usiku akibakwa na vibaka huoni utakuwa umemsababishia!!!ungesubiri kupambazuke ukamchukulie hela benki ya kuanzia maisha harafu ndo muagane hata kwa kiss anaondoka!!usiku!?Si hiyo red tu tena ilikuwa saa tisa usiku kamata kibegi chake tupa kuleeeeeeeeee
aaaaaah Dena Amsi!!!!ulifanya kosa sana!!yaani mtoto wa mwanamke mwenzio unamtimua usiku akibakwa na vibaka huoni utakuwa umemsababishia!!!ungesubiri kupambazuke ukamchukulie hela benki ya kuanzia maisha harafu ndo muagane hata kwa kiss anaondoka!!usiku!?