Ni Broker yupi ni bora kwenye Forex?

American nigga

JF-Expert Member
Aug 8, 2014
667
944
Habari wazee,

Nimeshafanya mazoezi ya kutosha nataka kuanza kutrade, Nahitaji kujua ni Broker yupi anafaa. Sihitaji matapeli au wahunihuni.

NB nimejaribu Kusignup kwa baadhi, ila naambiwa nchi yangu hairuhusiwi.

Naombeni muongozo wataalamu kwa kutrade

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Broker wanazaliwa kila kukicha.

http://www.www.100forexbrokers.com/fx/broker_search.php tumia hiyo link kutafuta broker kulingana na vigezo unavyovihitaji

Halafu ukishampata nenda Forex Peace Army ukasome reviews za watu waliomtumia broker huyo.

Hivi ndivyo mimi niliwapata brokers ninaowatumia.

Sikuwahi kumuuliza mtu eti ni broker gani ni mzuri.

Hii njia niliyokupa haikufai kama hauna knowledge yoyote kuhusu forex brokers.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee asante sikutegemea jibu safi kama hili nashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na pia strategy hii itakua poa zaid kama ukimtumia broker nnae mtumia mm kwa kufungua account kupitia referral link yangu boss wangu!!! Narudia kwa mara nyingine tenah!! KARIBU PM

@YoungJigger
 
Na pia strategy hii itakua poa zaid kama ukimtumia broker nnae mtumia mm kwa kufungua account kupitia referral link yangu boss wangu!!! Narudia kwa mara nyingine tenah!! KARIBU PM

@YoungJigger
Njaa mbaya sana, kwahyo unauza strategy, kama inakupa ela si utulie nayo uendelee kupiga ela, ela za mfukon mwa watu nazo unazitakia nin,, kwann unatangaza kuuza kuna alipenda strategy yako,mpk unasema unauza??

No hate No fear, acha kutapeli watu,, povu kadri ya itakavyokugusa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wazee, Nimeshafanya mazoezi ya kutosha nataka kuanza kutrade, Nahitaji kujua ni Broker yupi anafaa. Sihitajj matapeli au wahunihuni.
NB nimejaribu Kusignup kwa baadhi, ila naambiwa nchi yangu hairuhusiwi. Naombeni muongozo wataalamu kwa kutrade

Sent using Jamii Forums mobile app
Hela zako kauzie maembe tu aisee, kama hata kuandika kunakusimbua kiasi hiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kabla ya yote naomba nijue elimu yako kwanza!! Then nikufundishe kitu ambacho kitakupa mwanga kwenye maisha yako mbelen huko!!
Njaa mbaya sana, kwahyo unauza strategy, kama inakupa ela si utulie nayo uendelee kupiga ela, ela za mfukon mwa watu nazo unazitakia nin,, kwann unatangaza kuuza kuna alipenda strategy yako,mpk unasema unauza??

No hate No fear, acha kutapeli watu,, povu kadri ya itakavyokugusa.

Sent using Jamii Forums mobile app

@YoungJigger
 
Aisee asante sikutegemea jibu safi kama hili nashukuru sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Pitia link hii: Forex trading: Taarifa sahihi za Templer forex broker

Siku nyingine fanya hivi.

Pia pata content zaidi kuhusu FX hapa JF kwa kuandika katika Google hivi
site:jamiiforums.com FOREX
1584692471617.png

Utakundua kuwa JF ni hazina ya kila kitu unachohitaji kujua.
 
walio liwa forex wengi walikua wana cheza kama kamali sio ku trade mm mwnyewe nshawahi kuliwa sana 2! haihitaji mhemko
 
Back
Top Bottom