Ni bora msioge kabisa ili tujue moja,kaaah!!!

Ni bora msioge kabisa ili tujue moja,kaaah!!!

excretion ya mwanamke na mwanaume ina tofauti kubwa sana katika harufu mwanaume unaweza usioge siku 1 wapembeni yako asijue ila kwa mwanamke haiwezekani so kabla ya tendo afanye tena usafi kujiridhisha

be___blessed
 
Habari wanabodi,

Naandika Uzi huru nikiwa na gadhabu kweli.

Unakuta mtu unaomba meeting ww na mpnz wako,mnakubaliana mkutane saa flani.

Muda ukifika dem anakuwa bado hajafika eneo la tikio,unaamua kumcall,honey mbona hujatokea?
Anakukibu sorry nilikuwa naoga.

Akifika eneo la tukio mnaanza majamboz,mara ukipeleka mkono sehem nyeti na kuunusa unakumbana na harufu Kali!!!!

Sasa me huwa najiuliza hivi huyu dem si kachelewa kufika kwasababu anadai alikuwa anaoga?sasa inakuaje mtu alieoga anuke kiasi hiki?au alioga maeneo mengine huku hapahusiki??

Wadada hebu badilikeni,haiwezekani kila kukicha tunawaambia kuhusu usafi sehemu zenu lakini hamuelewi.

Kama vip acheni kuoga kabisa ili tujue kuwa hamuogi,kuliko kujinasibu mnaoga kutwa mara tatu,haliyakuwa bado mnatoa harufu kali!

Passport size haikuwahi kumwacha mtu salama![emoji53][emoji53][emoji53]
 
Sio kweli mkuu,wapo wanaosababishwa na magonjwa lakini wengi hawajui kujisfisha,

Kuna mmoja niliwahi kumchana kistaarabua na akanielewa akawa anajisafisha na ile harufu ikawa kwishnei.

Wewe una kamkosi na hao wanaonuka. Kama kuna mwingine ulikutana nae wa hivyo vumilia tu mkuu. [emoji23][emoji23]
 
Acha kupeleka lodge za mia mbili, na ww demu katoka boko basiaya kakufuata kibada ulizani ataacha nukia cabbage [emoji23][emoji23][emoji23]

driller⛏⚒
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] et cabbage
 
Mimi huwa sidate mwanamke mwenye kucha ndefu mikono yote,najiuliza anaoshaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi kumuuliza mdada flan kuwa hiv mnazioshaje papuchi zenu mkiwa na mikucha kama hiyo?

Alinijibu nimpotezee coz anajua mwenyewe na hawezi nuka.
 
Habari wanabodi,

Naandika Uzi huru nikiwa na gadhabu kweli.

Unakuta mtu unaomba meeting ww na mpnz wako,mnakubaliana mkutane saa flani.

Muda ukifika dem anakuwa bado hajafika eneo la tikio,unaamua kumcall,honey mbona hujatokea?
Anakukibu sorry nilikuwa naoga.

Akifika eneo la tukio mnaanza majamboz,mara ukipeleka mkono sehem nyeti na kuunusa unakumbana na harufu Kali!!!!

Sasa me huwa najiuliza hivi huyu dem si kachelewa kufika kwasababu anadai alikuwa anaoga?sasa inakuaje mtu alieoga anuke kiasi hiki?au alioga maeneo mengine huku hapahusiki??

Wadada hebu badilikeni,haiwezekani kila kukicha tunawaambia kuhusu usafi sehemu zenu lakini hamuelewi.

Kama vip acheni kuoga kabisa ili tujue kuwa hamuogi,kuliko kujinasibu mnaoga kutwa mara tatu,haliyakuwa bado mnatoa harufu kali!
Kuna mdau alishasema mwanamke mwenye shida hiyo sio kwamba hajaoga ILA MSHAURI ALE MANANASI AU ANYWE JUISI YA MANANASI sio zile za azam, akamue mwenyewe...
 
Hahahahahahahaaaaaaaaa inabidi aongee na girlfriend wake sisi haituhusu
Hapo ndipo mnapofeli siku zote,tambua ni ngumu kwa mtu kujitambua anaharufu mwilini make.Au mnataka mpaka muone threads za wanaume zenu kuhusu hii issue ndo mtastuka atii!!
 
Sa unanusa ili iweje. Ulifikili pafyumu hyo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

sent from my iPhone 7s using JamiiForum mobile app.
Kiherehere cha haya matundu mawili(pua)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom