Ni bora kuwa kicheche kuliko yanayonitokea

Ni bora kuwa kicheche kuliko yanayonitokea

Zaa na meli tu kiongozi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Umeonekana we bwege yaani unaagwa kabisa kuwa sitopatikana.
 
Mkuu usipoteze muda kwa wanawake cha msingi we zaa kusanya watoto wako kama kimi leo na somesha utapoteza muda na rasilimali ulizonazo
Wanawake walikuwa mama zetu hawa dawa yao ni kutafuna kesho achana nae cha msingi hakikisha unatumia condom mkuu!
Sasa atazaaje kama akitumia condom?
 
usibadilike kwa ajiri ya mtu fanya vile upendavyo acha ukicheche kwa hatar afya yako si kwa kuwa upo na demu fulani
 
Back
Top Bottom