"Ni bora kupata ukimwi kuliko mimba"

"Ni bora kupata ukimwi kuliko mimba"

ah bora ngoma kuliko mtoto anakuja hapa duniani hapati malezi anaishia kuteseka tuu...huo ni ubinafsi. kwa nini mtoto ataabike nakuona dunia chungu? starehe yako weye iwe machungu kwa mtoto.
pata wewe mwenyewe ngoma ili utaabike mwenyewe na sio mtoto.

HII NDIYO SABABU PEKEE NITAYOIKUBALI KUTETEA KUA Bora kupata Ukimwi kuliko Mimba.
 
I get your point, Mzabzab. Lakini mbona ngoma na mimba zinaepukika (is this a word? lol)

sawa ila ukumbuke dunia ya sasa watu wanapenda ngono dnt think kila mtu anaweza luwa muaminifu na pia ukweli ni kwMba ndom inapunguza utamu...thats just a fact.
 
Duh! Hii kali, lakini wanapunguza idadi ya watoto wa mitaani pamoja na vibaka wa baadaye, elimu zaidi inahitajika,pia watu wamrudie Mungu waachane na zinaa, hii inaonyesha wengi katika ndoa si waaminifu,walio ktk ndoa na wasiokuwa ktk ndoa wameharibika kwa pepo la uzinzi, ee Mungu utuokoe na uiponye Tanzania yetu.
 
Matatizo mengi ya kiafya hasa vijijini yanasababishwa na ignorance. Stadi za maisha huanzia nyumbani na baadae shuleni. Ikiwa mama/baba hajampatia mwanae stadi za maisha kwa sababu labda mwenyewe hana ujuzi basi mtoto anasikia hearsays za mtaani na kuanza kuzifanyia kazi. Ushauri wangu ni kwamba tuwape wanetu stad za maisha(life skills) kwa kuzungumza nao. vaa miwani ya mbao kuondoa aibu, ongea na mwanao wa kike au kiume kuhusu mambo ya uzazi na afya. Haisaidii kumwonea haya mwanao halafu kesho akaja na mimba au Ukimwi.
 
Again I agree kuwa condom hupunguza utamu. Lakini je ungekuwa unajua vema kuwa mwanamke unaetaka kulala nae ana UKIMWI, yaani you are 100% certain, bado ungeingia kavukavu sababu ya utamu? I mean, is that utamu worth risking your life for?

sawa ila ukumbuke dunia ya sasa watu wanapenda ngono dnt think kila mtu anaweza luwa muaminifu na pia ukweli ni kwMba ndom inapunguza utamu...thats just a fact.
 
Ni kweli kabisa. Juzi juzi kulikuwa na thread inayoongelea jinsi wabongo tunavyokubali kila hearsay as fact. Hatuulizi, hatubishi. Waliocontribute wengine wametaja njia zingine ambazo sijawahi kusikia ambazo pia ni hatari sana kwa afya.

We have a long way to go. 😱hwell:

Matatizo mengi ya kiafya hasa vijijini yanasababishwa na ignorance. Stadi za maisha huanzia nyumbani na baadae shuleni. Ikiwa mama/baba hajampatia mwanae stadi za maisha kwa sababu labda mwenyewe hana ujuzi basi mtoto anasikia hearsays za mtaani na kuanza kuzifanyia kazi. Ushauri wangu ni kwamba tuwape wanetu stad za maisha(life skills) kwa kuzungumza nao. vaa miwani ya mbao kuondoa aibu, ongea na mwanao wa kike au kiume kuhusu mambo ya uzazi na afya. Haisaidii kumwonea haya mwanao halafu kesho akaja na mimba au Ukimwi.
 
Mimba nini bana...watu wengine humu humu kwa kauli zao wanaogopa talaka kuliko UKIMWI, kisonono, kaswende, na ma VD mengine kama hayo.

Ndivyo fikra za baadhi ya Watanzania zilivyo...
 
Again I agree kuwa condom hupunguza utamu. Lakini je ungekuwa unajua vema kuwa mwanamke unaetaka kulala nae ana UKIMWI, yaani you are 100% certain, bado ungeingia kavukavu sababu ya utamu? I mean, is that utamu worth risking your life for?

well this myt be stating the obvious and certainly not the excelling point but reality shows that most people are willing to risk their lives for that utamu. human stupid knows no boundaries my lady!!!
 
I get that. But there is a difference between risking your life and knowing for a fact that you are going to die if you go through with something.

well said na umejijibu mwenyewe. watu wanapogegedana kavu kavu none knows for a fact kuwa atapata ukimwi...so its risking ur life and that explains very well y people pamoja na kujua ukimwi upo bado wana risk their lives.
 
Back
Top Bottom