Ni bora kumiliki gari au nyumba?

Ni bora kumiliki gari au nyumba?

lukelo sakafu

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2015
Posts
2,938
Reaction score
517
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi
 
Aishi apendavyo na jinsi moyo wake unavyo hitaji.kama hajui testes na preference zake bdo hajakuwa.
 
Amepata mkopo wa shilingi ngapi.
anataka nyumba wapi eneo gani tanzania
anataka nyumba ya vyumba vingapi
anataka nyumba ya ukubwa gani
ukishasema haya naweza kukupa ushauri, kuna nyumba za hadi m500
 
Amepata mkopo wa shilingi ngapi.
anataka nyumba wapi eneo gani tanzania
anataka nyumba ya vyumba vingapi
anataka nyumba ya ukubwa gani
ukishasema haya naweza kukupa ushauri, kuna nyumba za hadi m500

Nlitaka kumuuliza amechukua mkopo wa sh ngapi? Kama hivi vimkopo vyetu vya mil 6 mpaka 10 sidhani kama anaweza kujenga nyumba,namshauri kama anataka gari anunue kwanza viwanja kwa hela hiyo yote hata kama vitatu sehemu tofauti tofauti,ikipita miaka miwili auze kimoja anunue gari,kingine auze ajengee nyumba kwenye kiwanja cha tatu.
 
Jamani kuna jamaa yangu kapata pesa ya mkopo sasa kanifuata nimshauri je ajenge nyumba au anunue gari? Wakuu karibuni kwa ushauri zaidi

lukelo;
Mwambiye hivi; Kama kiwanja kipo bondeni anunue gari, kikinuka mabondeni aweza kulala kwenye gari. Lakini kama kiwanja kipo mahali pazuri, ajenge nyumba.
Faida;
Kukinyesha mvua ataenda huko kwa boda boda atakaa raha
Akikosa kaz atapata hela za kodi ya pango hatalala njaa
Unaweza kuwa na gari likakosa hata tone la mafuta
Kila njia, nyumba ni bora kuliko gari. Waweza kuweka hati ya nyumba rehani ukapata gari jipyaaaa
 
Nunua gari kijana, ujenge nyumba kwani wewe ni national housing? Nunua gari ujenge heshma kwenye bar. Kwa mfano wale watoto wa kike wa IFM ukiwa na gari unaweza kuchukua hata wanne kwa siku, niambie nyumba kama ni nyumba unaweza kufika pale na kupata mchepuko wa fasta ? Nyumba itakupeleka coco beach au Bagamoyo, Kwanza nyumba kama iko Gongo la mboto itakusaidia nini hata wapangaji hutapata.
 
Nina muheshimu mwenye nyumba moja,kuliko mwenye scania 100!hata bank mkopo watampa mwenye nyumba sii mwenye gari
 
Bora gari,kwani kabla ya gari unaishi wapi?
 
amepata mkopo wa shilingi ngapi.
Anataka nyumba wapi eneo gani tanzania
anataka nyumba ya vyumba vingapi
anataka nyumba ya ukubwa gani
ukishasema haya naweza kukupa ushauri, kuna nyumba za hadi m500

mkuu milioni 600 na anataka nyumba ya vyumba kumi au gari aina ya benzi
 
nlitaka kumuuliza amechukua mkopo wa sh ngapi? Kama hivi vimkopo vyetu vya mil 6 mpaka 10 sidhani kama anaweza kujenga nyumba,namshauri kama anataka gari anunue kwanza viwanja kwa hela hiyo yote hata kama vitatu sehemu tofauti tofauti,ikipita miaka miwili auze kimoja anunue gari,kingine auze ajengee nyumba kwenye kiwanja cha tatu.

mkuu kachukua milioni 600
 
lukelo;
mwambiye hivi; kama kiwanja kipo bondeni anunue gari, kikinuka mabondeni aweza kulala kwenye gari. Lakini kama kiwanja kipo mahali pazuri, ajenge nyumba.
Faida;
kukinyesha mvua ataenda huko kwa boda boda atakaa raha
akikosa kaz atapata hela za kodi ya pango hatalala njaa
unaweza kuwa na gari likakosa hata tone la mafuta
kila njia, nyumba ni bora kuliko gari. Waweza kuweka hati ya nyumba rehani ukapata gari jipyaaaa

mkuu ngoja nimwambie
 
Back
Top Bottom