Ni bora kujipima au kupimwa na mtaalam

Ni bora kujipima au kupimwa na mtaalam

Mambo zenu,
Ni bora kujipima au kupimwa hospitali na kupewa majibu.
Kwa sasa nadhani ukiwa umekaribia 30 na kadhalika lazima uache anasa unatakiwa ujipime nakujua mwelekeo wako.
Halafu ukijijua wewe sio mzima utachukua hatua gani??
Bora kupimwa mkuu kwani ukikutwa na nyaya unaweza kupewa ushauri wa kitaalam utakaokusaidia vile vile ukikutwa huna utapewa mbinu ili uweze kuepuka
 
Pia ni mbaya kwasababu ukijikuta huna unaweza kuzidisha uzinifu na hili linatokana na kwamba ni vigumu kujipima halafu ukajipa ushauri mwenyewe
Ni kweli tufanyaje na tuchukue mbinh gani kuhamasisha ili na wengine waenda kujua hali zao kwa maana ukimwi umezidi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni mtu wa kuuza mechi nyingi ni bora uandaliwe kisaikolojia kupokea majibu lakini kama unajijua sio mtu wa kutembelea ringi unaweza kujipima mwenyewe tu
 
Nikupimwa afya ndio watu hawataki kwenda kupimwa na wataalamu hamjui kuwa wewe sio mtaalamu wa hivyo vyombo so kuna kitu unaweza kukosea katika upimaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom