semmy samson
Member
- Dec 20, 2010
- 85
- 1
Inaonekana kama ungekuwa wewe ni msajiri WA VYAMA VYA SIASA..........UNGESHATUINGIZA VITANIIkiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Jaribu kuficha upumbavu wako mara mojamoja!!
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!

Wakuu wote JF naomba mnisaidie. Mimi huwa nikiona posts kama hizi huwa sizijibu lakini naona ninyi mnazijibu. Sababu ya mimi kutojibu posts kama hizi:
Mi nadhani JF inatakiwa kutumika kujadili masuala mazito zaidi na kwa mtindo wa hoja. Dah! Kuna wakati huwa najiuliza hivi JF ndiyo hii niliyokuwa naisikia?
- Huwa nagundua kabisa feeling ya aliyeiweka. Ikiwa yuko serious huwa nagundua, tena kirahisi. Asipokuwa serious pia nagundua kirahisi. Kwa mfano huyu aliyeweka hii post (Mwiba) hayuko serious kwa sababu mambo anayoyataja so far yalishatolewa majibu na ufafanuzi. Mwiba si mgeni hapa JF hivyo anafahamu vizuri majibu ya hoja zake ndani na nje ya JF, hivyo kuweka post hii ni katika kurusha roho vijana wenye kuhangaika kujibu kila hoja.
- Msimamo wa baadhi ya members ambao wako very biased humu JF unafahamika, hivyo ni rahisi kutambua ajenda ya chini ya kapeti ya mtu anayeweka post. Kwanini kupoteza muda kujibu? Hata kama itawekwa post ya namna hii hata kupitia yule tusiyekubaliana naye basi kuwe na hoja.Sasa hoja hakuna, tunachojibu ni nini? Au ni raha ya kutukanana?
Wakuu naomba kwa taadhima mnijibu mnapata wapi moyo wa kujibu mizaha? Mi naona nashindwa "kufanikiwa" kama ninyi!!
Asanteni.
Inategemea mtazamo wako uko compatible kiasi gani na muanzisha hoja!!
Pengine hatanii na ndivyo alivyo, pengine hana mawaza ya siri na pengine yuko serious
Huwezo wako wa kugundua post ya mtu ni very unique mwambie Invisible akuweke uwe MODS!
Muanzisha thread naweza kusema pengine anataka positive move from chadema, anataka chadema wawe harsh, wapenda vita, wagomvi, na hatakai upadre unaoendelea sasa hivi. wako wanachama wa hivyo ambao wanataka VIOLENCE LAKINI NI WANACHAMA HAI NA WAZURI TU, HUYU NI MMOJA WAPO,NA HII POST IS DEPICTING HIS ANGER TOWARDS RECENTLY moves.
the best way ukiona post haina maana usichangie kabisa maana kwa kufanya hivyo umeshavutwa kuchangia. personally kuna watu ambao wako kwenye ignorelist yangu. sitachangia hata iwe vipi si kwa sababu ya uwezo wa kuwazaau kujua their secret intention , hapana bali hoja zao tu.
kaka uko juu!!
3D umenena jambo zuri. Lakini tukumbuke kuwa kila mtu ana uhuru wa kusema mawazo yake, na Mwiba kasema ya kwake ingawa zimekuwa pumba zisizojulikana ni za zao gani, mpunga, mahindi, mbigiri? Lakini nashukuru kuwa amepata alichohitaji, watu wamemjibu na amejua sasa ni nini mapenzi ya wengi. Sauti ya watu ni sauti ya Mungu.
Ikiwa Chadema imeshindwa na ustaarabu bora Msajili akifute Chama hiki,chama ambacho kinashindwa kujidhibiti na kuwezaa kufuata mkondo wa kisiasa,kwa nini hawaiangalii CUF wapi imetoka na wapi ipo ,hii leo !!
Mimi nawashauri Chadema wasitishe kuingia kwenye Bunge mara moja,nawahakikishia serikali itabadili muelekeo ,ni lazima itabadili muelekeo na vile vile lile lengo la kutomtambua Kikwete kama Raisi halali au alieshinda kihalali, hapo hapana ubishi ni lazima CCM na serikali yake ikae sawa na ni njia moja ya kidemokrasia kabisa.
Lakini kuwarubuni wananchi wakati mnaingia bungeni na kula na kusaza ,hili halikubaliki kabisa kisha kutaka kuwaburuza wananchi kwenda kuchezea maji ya washawasha ,nyie wabunge mnakuwa tandize na majokofu ya jumba la bunge,huo utakuwa utapeli kushinda wa mafisadi,amueni moja tuwafahamu.
Bangi za CUF Sawa Sawaa???
Haka kachama cha kikabila na kaudini kitajifia chenyewe bila kuguswa kwa sababu;
Kimeanzishwa kwa mising mibovu, viongozi wabovu
Hivi na wewe huku huwa unafika..... mi nilidhani we ni wa Jukwaa lile jingine tu..... Karibu na hapo jirani Jukwaa la siasaZipo points nyingi sana ,
Zipo points nyingi sana ,ila nyie mnaokuja na meno taratibuni mingine ni mifupa. Hili la kusema tutafanya tukipewa ruhusa au hatukupewa ,huoni kama huko ni kukosa ustaarabu ? Au mnataka kuleta mambo ya Kenya maana wengi wenu ni watu wa mipakani mna uzoefu wa fujo na mmekuwa rahisi kuambukiswa kwani ndio mazungumzo ya watu wa mipakani kupeana tumbaku za kunusa,nasema msije mkajaribu ,kama mmechoka na siasa za mwenendo wa Tanzania ,kaeni chonjo ,Usilinganishe na CUF maana CUF mmeona vitu vyao kule Zanzibar wameigawa CCM au wameikata CCM nusu.
<br />Inategemea ulivyoelewa tu,ila kila kitu kipo wazi kabisa,kama utaangalia ni namna gani msimamo wa Chadema ulivyo hivi sasa,Chadema wanataka kufanya mambo kinguvunguvu,Chadema wanataka kulazimisha WaTz wakubaliane na matakwa yao au vile waonavyo wao ndio jamii nzima ikubaliane nao na hata serikali iwe inafuata mrengo au matakwa yao ,yaani wanataka kila walitakalo wao lifuatwe na wananchi pamoja na serikali kama halikufuatwa au hawakuruhusiwa basi watumie wananchi kulazimisha ,hii ni jeuri na ni kushindwa kufanya siasa,kwa maana hiyo kama wameshindwa na siasa ni bora wabwage manyanga na sio kutaka kujinyakulia amri kutoka mikononi mwao na kuwatumia watu.<br />
<br />
Sisitizo ambalo limekuchanganya ni pale nilipotoa rai kuwa ,wawe wenye kusimamia misimamo yao kisiasa kama waalivyotoka bungeni,nijuavyo walitakiwa wasirudi hadi kieleweke ,hilo halikufanyika,kutomtambua Raisi nalo hilo lingendelea mpaka ikawa kero ndani na nje ya nchi nalo mpaka ieleweke au kieleweke ,lakini wapi hakuna hata moja walilolisimamia kwa umoja na kuliendeleza ,sasa hili la tutafanya ikiwa hatukupewa kibali huoni kama ni kusababsha matatizo,hawaeleweki !! Mambo mengine hayahitaji mpaka mueleweshwe ukitizama tu utaona kuwa Chadema wamepoteza muelekeo na wanakoelekea ni fujo na vurugu ,ndio nikasema bora kifungwe.