Ni bidhaa gani unazoweza kuziuza ×1,000 kwa siku moja?

Mtaji ndio shìda hapo ila inawezekana.

1. Petrol station jijini Dar es salaam, uhakika wa kuuza zaidi ya lita 1000 upo.

2.Huduma ya daladala, Ukiwa na daladala 6 au 7 zile kubwa uhakika wa kupata watu 1000 kwa siku ni mkubwa.

5. Fungua mabucha 10 ya nyama na samaki sehemu tofauti tofauti jijini Dar es salaam, uhakika wa kila bucha kuuza zaidi ya kilo 100 upo.

Usambazaji na uuzaji wa maziwa kwenye hotel na watu binafsi
 
Mtaji ndio shìda hapo ila inawezekana.

1. Petrol station jijini dar es salaam, uhakika wa kuuza zaidi ya lita 1000 upo

2.Huduma ya daladala, Ukiwa na daladala 6 au 7 zile kubwa uhakika wa kupata watu 1000 kwa siku ni mkubwa.

5. Fungua mabucha 10 ya nyama na samaki sehemu tofauti tofauti jijini dar es salaam ,uhakika wa kila bucha kuuza zaidi ya kilo 100 upo

Usambazaji na uuzaji wa maziwa kwenye hotel na watu binafsi
Iko vizuri mkuu.
Je kwa watu wenye mitaji midogo kuanzia M2 wanaweza kutoa huduma gani ambayo ni ya bei rahisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda karanga. Kama ni kwa mtaji mdogo hamna hiyo biashara. Hata ndizi huwezi uza 1000 kwa siku,machungwa pia... Labda ungesema 100
 
Mkuu,Kikombe cha chai ni 500,mandazi 500.Watu wanakunywa mbona.Au we unakunywaga chai ya 10000?
Ujaelewa anachotaka mtoa mada, 500 maandazi 5 kwa mantiki hiyo inabidi utengeneze maandani 500,000 kwasiku, Chai ya 500 hakuna tukifanya ipo hiyo chai inabidi ujaze kwenye pipa kwasiku.

Yeye anataka bidhaa moja itayompa faida/mauzo ya 1000 size mala 1000.
 
Mkuu,Bado Narudi tena.Bidhaa za Chakula,kama anaona Chai hapana basi auze chips au ugali etc.Ila Chakula ndio bidhaa pekee ambayo unaweza target mauzo ya kufikia watu 1000 kwa siku na ikamake business sense.Kingine Chochote ni subject to other factors.
 
Back
Top Bottom