Inategemea na ukubwa na wa saluni yako na mtaji, unaweza fanya yafuatayo Kwa ndani:
1. Weka mafuta, perfume na nail cutter ambazo wanaume wanapenda kutumia.
2. Uza vocha Kwa kurusha na huduma za kifedha.
3. Weka hizi smart watch hazichukui nafasi kubwa, kinachohitajika tu ni design nzuri Kwa ajili ya kudisplay.
4.pia mikanda ya kiume unaweza weka.
5. Fridge ukauza soft drinks kama maji, soda etc.
Jaribu hayo.
Weka visungura uwamalize.kaka asante
Weka visungura uwamalize.
Uza boxa....
Inategemea na ukubwa na wa saluni yako na mtaji, unaweza fanya yafuatayo Kwa ndani:
1. Weka mafuta, perfume na nail cutter ambazo wanaume wanapenda kutumia.
2. Uza vocha Kwa kurusha na huduma za kifedha.
3. Weka hizi smart watch hazichukui nafasi kubwa, kinachohitajika tu ni design nzuri Kwa ajili ya kudisplay.
4.pia mikanda ya kiume unaweza weka.
5. Fridge ukauza soft drinks kama maji, soda etc.
Jaribu hayo.
Tshirt, jeans na Raba, unatundika nje ya salon yako code kadhaa wahuni wanapenda sana afu we mwenyewe uwe unatupia kinyamwezi sasaaa.Nimefungua biashara ya kunyoa yaan kinyozi
Siyo berbershop bado haina hadhi hiyo
Lakini naona mauzo madogo je naweza nikaongeza biadhara gan hapo ili iwe inabust??
Watalamu wa biasharaView attachment 2861110