naunga mkono hili wazo kwa 100%Haitasaidia nadhani idea yako, idea nzuri ni ile ya wahindi pale kariakoo, kama una biashara nenda nae kwenye hizo biashara zako na mpangie majukumu, kama ni duka ahudumie kabisa wateja moja kwa moja! Kama unachukua mizigo chanzo fulani mwagize afatilie manunuzi na akuletee record ya nini kanunua kwa kiasi gani na garama.gani.
Mawazo yako yako vizrLengo ni kuwafunza maisha tofauti na ajira ya kusubiri mshahara au posho.
Nataka waanze kupata experience ya biashara wakiwa wadogo. Wakitengeneza hasara ni sehemu ya kujifunza siangalii sana watazalisha nini.
Wanunulie baiskeli wakodishe watoto wenzao, nunua game wachezeshe watoto wenzao home , ila angalia wakizoea pesa shule wansweza kuona shida...Likizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu.
Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo.
Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili.
Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia mahitaji yao wanayotaka ya ziada.
Nisaidieni ni biashara ipi wanaweza fanya kwa mazingira ya nyumbani??
Note: mimi sio mfanyabiashara, nimepata hii idea ili kuziba gap nililokuwa nalo kwenye malezi yangu.wa
Taja kwanza umri wao
Mm wakwangu mapacha me na ke wapo darasa la 5 walipokuwa darasa la 4 niliwauliza kila mmoja anataka kufanya nn
Wakike akaniambaia anataka kufuga kuku nikamnunulia kuku 20 Koo 15 jogoo 5 leo anakuku 90+ wakienyeji
Wakiume alitaka kifuga mbuzi na sungura nikamnunulia majike 5 na dume 1 leo hii ana mbuzi 10 jumla sungura sikumnunulia
Wote wanatokea nyumban
Safi good ideaHaitasaidia nadhani idea yako, idea nzuri ni ile ya wahindi pale kariakoo, kama una biashara nenda nae kwenye hizo biashara zako na mpangie majukumu, kama ni duka ahudumie kabisa wateja moja kwa moja! Kama unachukua mizigo chanzo fulani mwagize afatilie manunuzi na akuletee record ya nini kanunua kwa kiasi gani na garama.gani.
Sawa mkuu, una suggest biashara kama zipi wanaweza fanyia maeneo yaenyumbani.
Dunia ya ajabu kwelikweli,we kama mzazi una jukumu la kujua vipaji au talanta za watoto wako gundua vipaji vyao kwanza walizozaliwa nazo ndio uombe ushauri hukuBado wapo primary school, mmoja miaka 8 mwingine 10. Sawa nimeichukua hii idea.
Kama upo dar jarbu kucheki na hii account ya twitter itakupa taarfa zaidi, kuna binti anakusanya watoto wadogo pamoja na walimu mbalimbali meaning wafanyabishara na corporates personnel nakuwapa watoto elmu zakibiashara nakuwasaidia kuanzisha mradi wao wa kwanza wakibiasharaLikizo inayokuja nataka kufanya kitu tofauti kwa watoto wangu.
Pamoja na kujisomea nyumbani ila nitaweka nguvu kuwafundisha biashara kwa vitendo.
Nataka niwafungulie biashara ya kufanya kila mtu na yake na wapo wawili.
Nitawakopesha mtaji na nitawadai wakimaliza likizo faida yao itanunulia mahitaji yao wanayotaka ya ziada.
Nisaidieni ni biashara ipi wanaweza fanya kwa mazingira ya nyumbani??
Note: mimi sio mfanyabiashara, nimepata hii idea ili kuziba gap nililokuwa nalo kwenye malezi yangu.
Wafundishe misingi ya kusevu pesa (Saving) kwa matumizi ya baadae hasa emergence.Bado wapo primary school, mmoja miaka 8 mwingine 10. Sawa nimeichukua hii idea.